Baadhi ya mahitaji ya mume

Baadhi ya mahitaji ya mume

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
22,133
Reaction score
48,851
Habari wana MMU?

Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.

2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)

3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)

4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)

5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)

6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
 
Wakikubaliana na hayo yetu, tusubiri list ya matakwa yao. Sijui tutaweza kuitimiza?!
 
sawa
 
Asante tumekusikia..

Ila ujue kuwa mapenzi ni Two Way Traffic.

Usitegemee kutoshelezwa na mke kama wewe humtoshelezi.

Usitegemee heshima kama wewe humheshimu, heshima ni kupeana.

Ukitaka mkeo akufanyie mambo mazuri, anza wewe kumfanyia, she'll reply back.

Tabia ya nafsi ni kumpenda yule anayeifanyia mema.
 
Inasikitisha JF limeibuka wimbi la binadamu wanaojua tu weaknesses za jinsia isiyo yao. Poleni saana.
umeonaeee, lazima tufanye hivyo ili upande mwingine ulete mrejesho kwa kuleta maswali.

Nyani siku zote haoni kundule. nataka nifafanue hapa kwamba, tukisema; upande mwingine wako huru kutoa maoni yao.
 
Teh shem bhana. Ni kweli.
Huku kuna watu walishaumizwa vya kutoshaa. Hata kisemwe kizuri gani cha jinsia fulani wao ni kuponda tu.
 
na ndo maana JF ni kitu kizuri sana cha kupoozea maumivu.

Shem namshukuru Mungu hadi hapa STUNTER ana behave vzr
 
Hivi mie naweza pata Mke wa hivo kweli miaka hii?
 
Uwe unaniombea basi na mimi nimpate kama wew!
hivi shem wewe bado eeeeh, acha nianze kumweleza Mungu juu ya wewe.

unapenda mwenye sifa gani shem wangu.
 
Shem namtaka twin wako. Kila kitu mfanane ikiwezekana awe jirani yako ili siku tukiibuka via via tuwe wote
 
Back
Top Bottom