A
Anonymous
Guest
Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING.
Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000).
Tumeenda kulalamika sana baadhi ya Ofisi za Viongozi bila mafanikio; hatuna njia nyingine ya msaada zaidi ya hapa JamiiForums. Tunaomba waheshimiwa wakuu wenye Mamlaka husika kutusaidia kufatilia kwa ukaribu.
Adhabu (faini) ni kubwa sana.