dah! kwa hasira hizi inaonekana greti thinka kajeruhiwa vibaya sana! dah! nazani angekuwa mod angepiga ban wanawake wote mchana wa leo.
huyu ndio kokudo bana. na mimi ni mmoja wa washabiki wa sredi zake.eeehheee....jamaa anataka changudoa amkabidhi heshima thetehetee
huyu ndio kokudo bana. na mimi ni mmoja wa washabiki wa sredi zake.
inafakt ni prime idol wangu hapa JF.siku zote yeye ni true life experiences....l.o.l
dah! kwa hasira hizi inaonekana greti thinka kajeruhiwa vibaya sana! dah! nazani angekuwa mod angepiga ban wanawake wote mchana wa leo.
inafakt ni prime idol wangu hapa JF.
Lack of confidence! hata uwe mwembamba kiasi gani hata uwe mnene kiasi hata uwe na makovu kiasi gani confidence yako ndio itakufanya mwanaume akupende jinsi ulivyo. sasa ukianza kujifichaficha hapo ndio unampa reason ya kuanza kutaka kungalia na kuchunguza umbaumbau wako upasi wako mtindi madoa maunene na vinginevyo.

mimi kila mwanamke kakiona aibu aibu ndio kananipandisha mzuka lakini mheshimiwa kokudo inaonekana ni mstaafu wa jeshini anataka yeye na mdada watumbuliane mijicho kama wabunge wa uganda. khaaNaona kaka ametuletea yaliojili usiku wa kuamkia jpili. Lakini si ndiyo heshima ya mwanamke jamani, manake nikifikiria nahisi hata mimi nafanya hivo hivo. Mmmmmmmh!!