Baada ya Zanzibar, kwanini Kenya nchi maarufu nambari mbili Afrika?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Baada ya Zanzibar kwanini Kenya ndio nchi maaarufu Afrika?

Historia inatukumbusha ngoma ikirindima Zanzibar hadi maziwa makuu wanalicheza rumba. Pamoja na ukweli huu - historical truth (history cannot be wiped away so easily) ,wenzetu, ndugu zetu, wanazidi kupaa anga za kimataifa, "iko" nini Kenya?

Mungu ibariki Afrika.
 
Nchi Maarufu Afrika, kwanza ni South Afrika, kuna Egypt, Morocco, Algeria, Nigeria, Ghana, Kenya..Zanzibar ya mbali
 
Tanzania ni maarufu kama nchi ambayo ni wajamaa uchwara na muanzilishi wa NAM (unafiki) pia kama nchi ambayo haina kitu ila inawaita wazungu mabeberu, Bad enough kama nchi pekee Africa ambayo inafanya biashara na North Korea.
 
Back
Top Bottom