findu fiki
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 431
- 67
Naunga mkono hoja.Ndugu zetu Wahaya dhambi ya ubaguzi inawatafuna siyo tu maofisini hata sokoni na kwenye maduka katika mkoa wao ni wazawa tu ndio maana mkoa wa Kagera uko nyuma kiuchumi pamoja na kwamba wazawa wa Kagera wana maendeleo makubwa nje ya Kagera.Najua wewe ni walewale,nani asiyejua kuhusu tabia mbovu za ubaguzi za wahaya?Wangapi wamekimbia kufanya kazi Bukoba kwa ubaguzi?
Najua wewe ni walewale,nani asiyejua kuhusu tabia mbovu za ubaguzi za wahaya?Wangapi wamekimbia kufanya kazi Bukoba kwa ubaguzi?
Ni kweli kabisa mumewekeza katika mikoa mingine tena sana tu.Kwa nini hamuwekezi Bukoba mpaka kamji kamechoka hakaeleweki hii ndiyo inadhihirisha dhahiri kwamba kuna ubaguzi mpaka wa vitongoji.Huyu katoka kiziba na huyu Iyangilomimi mbona mhaya nikienda bukoba nikongea kihaya na kujifanya mjuaji naitwa mnyamahanga na bibi yangu?Na kuhusu mwanza,dar kuendelea mbona wahaya tumewekeza sana hiyo mikoa tajwa hahaha.wahaya sio wabaguzi labda wengine wako arrogant.sema tumesoma sana unamuona mama tibaijuka kichwa chake hadi kwa wakorea hawamuwezi!
Wewe utakuwa UAMSHO damudamu...nyinyi ndo mnatuharibia nchi.Nyerere aliwapinga sana nyinyi na tabia yenu ya ubaguzi.
wanyamahanga means Gentiles yaani wasio wahaya. mimi sio mhaya lkini i have been there for more than 5 yrs kama mtumishi wa umma hayo sikuyaona so kuwa makini.
Kuna kila sababu sisi ijana na Watanzania wote tukipe ridhaa CHADEMA kiunde serikali mwaka 2015.CCM ni chama muflisi kilichoshinda kuzuia ubaguzi wa aina zote.Hata vurugu za ZNZ ni matokeo ya kuwa na serikali legelege yenye usalama wa Taifa wanaolinda viongozi na kuwaacha raia wakiharishiwa maisha yao na wahuni wachache.Yaliyotokea ZNZ hata Bukoba yaweza tokea.Watanzania wasio wazawa wanabaguliwa kana kwamba wanyama.Wamepachikwa majina mbalimbali yanayodharirisha utu wao,mfano wanaitwa WANYAMA ANGA yaan wanafananishwa na ndege.Hali ipo hata ktk ajira.Mfano halisi ni idara ya elimu sekondari ambapo afisa ana sera ya kuwapendelea walimu wazawa wa Bukoba na kuwabagua walimu wa mikoa mingine.Imishawahi kutokea mkuu wa shule wa Rutunga alimshitaki mwalimu mkorofi kwa afisa elimu,afisa elimu baada ya kujua yule mwalimu ni mhaya alimlaumu yule mkuu wa shule kwa nin amemshitaki huyu mwalimu.asema lazma tuwalinde vijana wetu angekuwa si mhaya tungemuadhibu.hii ndio serikali ya CCM yenye watendaji wabaguzi huku ikibariki ubaguzi huo.TUSIPOIWEKA CDM MADARAKANI 2015 TUTAZIDI KUJUTA!!
ahsante kwa ufafanuzi wako,lkn ndugu zako wanatumia neno wanyamahanga vibaya.wanahusisha na kutokuwa mhaya yaan wakuja ambaye hana thaman bukoba.
Ninamashaka na kazi uliyokuwa unaifanya labda ulikuwa house boy...uozo mwingi upo ktk utumishi wa umma,mfano hata ikitokea semina ya daktari pale halmashauri ya manispaa ya bukoba utakuta anakwenda mfagiaji ambaye ni kabila moja na mganga mkuu ambaye ni mhaya.wenyewe kwa wenyewe wanabaguana utasikia huyu wa muleba,huyu wa karagwe na huyu wa maruku na yule wa kiziba.
Jaribu kuweka ushahidi acha kubwabwaja. Hivi umewahi kukaa mikoa mingapi hapa nchini ukiishi na wenyeji wa mikoa hiyo? Unaweza kutwambia pia wewe ni mwenyeji wa wapi?
kuna kila sababu sisi ijana na watanzania wote tukipe ridhaa chadema kiunde serikali mwaka 2015.ccm ni chama muflisi kilichoshinda kuzuia ubaguzi wa aina zote.hata vurugu za znz ni matokeo ya kuwa na serikali legelege yenye usalama wa taifa wanaolinda viongozi na kuwaacha raia wakiharishiwa maisha yao na wahuni wachache.yaliyotokea znz hata bukoba yaweza tokea.watanzania wasio wazawa wanabaguliwa kana kwamba wanyama.wamepachikwa majina mbalimbali yanayodharirisha utu wao,mfano wanaitwa wanyama anga yaan wanafananishwa na ndege.hali ipo hata ktk ajira.mfano halisi ni idara ya elimu sekondari ambapo afisa ana sera ya kuwapendelea walimu wazawa wa bukoba na kuwabagua walimu wa mikoa mingine.imishawahi kutokea mkuu wa shule wa rutunga alimshitaki mwalimu mkorofi kwa afisa elimu,afisa elimu baada ya kujua yule mwalimu ni mhaya alimlaumu yule mkuu wa shule kwa nin amemshitaki huyu mwalimu.asema lazma tuwalinde vijana wetu angekuwa si mhaya tungemuadhibu.hii ndio serikali ya ccm yenye watendaji wabaguzi huku ikibariki ubaguzi huo.tusipoiweka cdm madarakani 2015 tutazidi kujuta!!
Uzi huu hauna mashiko. Kuna connection ya mbali sana tena ya kulazimisha na siasa. Mods hamisheni hii!!!!
KWELI KABISAA HAUNA MASHIKO....mleta uzi hajui hata kuweka paragraph masikini!
wewe mwenyewe mbaguzi
mheshimiwa utabidi ujivue gamba la ubaguzi nafahamu wewe ni muumini mzuri wa ukabila.