opportunist2012
Member
- Feb 8, 2012
- 92
- 9
wewe mlopokaji tu,kwanza huko Bukoba kunaishi watu makini wewe hapakufai kabisa.. Bukoba hakuko hivyo..wanyamaanga ni neno la kawaida tu
Wewe utakuwa UAMSHO damudamu...nyinyi ndo mnatuharibia nchi.Nyerere aliwapinga sana nyinyi na tabia yenu ya ubaguzi.
Kuna kila sababu sisi ijana na Watanzania wote tukipe ridhaa CHADEMA kiunde serikali mwaka 2015.CCM ni chama muflisi kilichoshinda kuzuia ubaguzi wa aina zote.Hata vurugu za ZNZ ni matokeo ya kuwa na serikali legelege yenye usalama wa Taifa wanaolinda viongozi na kuwaacha raia wakiharishiwa maisha yao na wahuni wachache.Yaliyotokea ZNZ hata Bukoba yaweza tokea.Watanzania wasio wazawa wanabaguliwa kana kwamba wanyama.Wamepachikwa majina mbalimbali yanayodharirisha utu wao,mfano wanaitwa WANYAMA ANGA yaan wanafananishwa na ndege.Hali ipo hata ktk ajira.Mfano halisi ni idara ya elimu sekondari ambapo afisa ana sera ya kuwapendelea walimu wazawa wa Bukoba na kuwabagua walimu wa mikoa mingine.Imishawahi kutokea mkuu wa shule wa Rutunga alimshitaki mwalimu mkorofi kwa afisa elimu,afisa elimu baada ya kujua yule mwalimu ni mhaya alimlaumu yule mkuu wa shule kwa nin amemshitaki huyu mwalimu.asema lazma tuwalinde vijana wetu angekuwa si mhaya tungemuadhibu.hii ndio serikali ya CCM yenye watendaji wabaguzi huku ikibariki ubaguzi huo.TUSIPOIWEKA CDM MADARAKANI 2015 TUTAZIDI KUJUTA!!
Wewe utakuwa UAMSHO damudamu...nyinyi ndo mnatuharibia nchi.Nyerere aliwapinga sana nyinyi na tabia yenu ya ubaguzi.
bila hawa watu,Tanzania ingekua na hali mbaya kuliko iliyopo sasa, mbona nyie ambao mwalimu nyerere aliwapa nafasi mmetusababisha kuwa taifa ombaomba
mzungu mzie afisa elimu aliye toa iyo hoja sio unatokwa na povu tu mdomonWe jipange upya! Walimu wangapi wantenda hayo uloyasema Tanzania hii? N-way, najua huna data za kutosha, tuulizeni sisi nasi tulio nje ya nyumbani. Tabia ya mtu mmoja usiihamishie mkoa mzima na tena ukome kabisa! Unajua huko CDM (japo ni chama langu) kuna mtu, tena mbunge anahutubia watu akisema anataka Kaskazini iwe nchi, JE TUSEME CDM WOTE WALIKUWA HIVYO? Wizarani (karibia zote) unaposikia kila kukicha kwamba wako mabila flani flani, Polisi inaposemekana vyeo vyote ni vya kabila na dini flani, NSSF tulipoambiwa kuna ....... flani.
Hilo jina ulilolinyumbua, si la leo Bukoba, tangu zamani za mababu wasiojua kiswahili cha kujua kwa EBIGUNJU ndo wanaitwa wanyama, walilitumia kuongelea yeyote ambaye alionekana kutoka nje ya mkoa huo na hajui kuongea lugha yao.
Je, umefuatilia kuona makabila na mikoa mingine wanasemaje kuhusu wageni, au etc. (end of thinking capacity) yako imeishia BK?
CHADEMA ni chama chetu lakini tusiingie kwa hasira za kutaka kulipiza visasi katika mabaya yalotendwa na wengine, hapo tutashindwa. Bali tufikirie zaidi ni jinsi gani tutaweza kuivusha nchi kwenda kwenye TANZANIA TUITAKAYO:israel:
Uzi huu hauna mashiko. Kuna connection ya mbali sana tena ya kulazimisha na siasa. Mods hamisheni hii!!!!
mzungu mzie afisa elimu aliye toa iyo hoja sio unatokwa na povu tu mdomon
Ya Zanzibar ni udini, ha Bukoba ni uzawa. Hakuna uhusiano hapo, kajipange vizuri
Abanyamamahanga = wana wa mataifa, E'hyianga = taifa