Baada ya wiki 2 za harusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya wiki 2 za harusi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sulphadoxine, Jun 8, 2011.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Baada ya wiki 2 za harusi mama mtu alimuuliza mwanae wa kike,vipi maisha ya ndoa?Mtoto akajibu ,Duh mama kama british airways,mama mtu akatoka mpaka Airport,kwenda kangalia ratiba,akakuta kwa wiki mara saba(7)na katika kila siku moja(1)inaenda trip tatu(3)na katika kila trip moja(1) inasimama vituo saba(7).Mama mtu pale pale akazimia...............................:majani7::majani7:
   
 2. Z

  Zabron Erasto Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo baaaaaaab! kubwa mwana, mama aliisoma kuwa ni gwaride la ukweli
   
 3. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  sasa anazimia nini? wasafiri wengine, then azimie mwingine,
  au alipata mawivu kwani yeye hajawahi kusafiri,
  aombe basi na yeye asafiri cku moja tu akasalimie
   
 4. senator

  senator JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Nimependa jinsi ulivyofikiria ( negative side)
   
 5. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  duuuu...! Aliona ameuwa mtoto kama mwendo ndo huu
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nimependa hili jb lako....lol..
   
Loading...