joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
MY TAKE: Mtakumbuka kwamba miaka ya nyuma kidogo Wakenya walianzisha kampeni ya kutaka kuhakikisha kwamba muziki wa Kenya unapewa nafasi kubwa katika media za Kenya ili kushindana na muziki wa Nigeria na Tanzania," Play Kenyan music", Sasa hivi Wakenya wanalalamika kwasababu wanamziki wa Tanzania hawawashirikishi wakenya katika nyimbo zao, hili limekaaje?, au ndio ule msemo wa kwamba "if you can't fight them, join them".
Tony254
dyfre