Baada ya wageni kusepa

Baada ya wageni kusepa

walahi juzi niliingia kwenye wall yake huwii kwanza kamtukana makonda hataree kamtukana zarina usipime ......... lolz nashangaa mpaka saa hizi yupo street hayupoo segerea
Ile vita aliyoanzisha sio ndogo. Kuna mwingine alisema ana picha zake so anaweza kuzianika mchana kweupe.
 
hahahahaha kumbee asavali umenifungua macho asee...... kumbe na yy anatembelega hu mtaa,,, u made ma day ndo maana kimyaaaaaaaaaaa
 
Acha tu. Sasa sijui kweli maana vitisho vingi
 
Back
Top Bottom