Baada ya "Vuta Nikuvute" sasa mwili wa Mzee Ndesamburo kuagwa Uwanja wa Majengo badala ya Mashujaa

Unachomeka maneno ya kuudhi watu wanapojadili hoja nzito, hasa kama hii ya msiba unaogusa watu wengi.
Jiepushe kuwatoa watu kwenye busara zao na kukasirika kukutukana. Uwe unaangalia mada inahusu nini kabla ya kuweka kejeli zako.
Tusameheane.
Unataka nifurahishe Washenzi, please, grow up, asiye na heshima hata kwa Mfu anastahili heshima Gani? They can all Go to hell as far as Am concerned!
 
Ila tatzo si uwanja tu si mmeshapewa kwan majengo sio uwanja au
Who are they Kuwapangia Uwanja? Huo uwanja ni wa Mama yake Magufuli? Sasa nyingine Tanzania tuache mambo ya Kishenzi. Those grounds and parks are public places for all Tanzanians! Sio Viwanja vya Mafisi. Ipo siku Viwanja vyote walivyopora CCM, watakuja Kunyang'anywa hata kama wamejenga minara ya vyuma itavunjwa!
 
Amani iwe kwenu mlioko eneo latukio,hizi hila za watu wachache zina mwisho wake na iko siku yataisha makamanda daima mbele
 
Unataka nifurahishe Washenzi, please, grow up, asiye na heshima hata kwa Mfu anastahili heshima Gani? They can all Go to hell as far as Am concerned!
Mkuu imekuwaje tena? Mbona post [HASHTAG]#328[/HASHTAG] haikukuhusisha na lolote wewe? Hebu nifafanulie kidogo sababu za kunishambulia!
 
Mkuu imekuwaje tena? Mbona post [HASHTAG]#328[/HASHTAG] haikukuhusisha na lolote wewe? Hebu nifafanulie kidogo sababu za kunishambulia!
Sawa kumradhi. Sikukuelewa, lakini hata kama ulinijibu mimi, sikukushambulia wewe, nilisema wao wanaoleta drama ndio washenzi na waende Hell sio wewe bro!
 
Sawa kumradhi. Sikukuelewa, lakini hata kama ulinijibu mimi, sikukushambulia wewe, nilisema wao wanaoleta drama ndio washenzi na waende Hell sio wewe bro!
"Lakini hata kama ulinijibu mimi" mkuu bado unanichanganya, maana majibu yale yalikuwa ya kwa yule mwanamke mcheka hovyo coco nini sijui!
 
Gambo akisikia Rambi rambi Tu anawashwa wizi . Pepo la wizi wa rambirambi halijawahi kumuacha gambo bila shauku . Aibu Sana kwa Gambo Una laana wewe Gambo
 
Angekuwa ni kiongozi wa chama tawala wangeruhusiwa kumwaga hapo mashujaa? Duniani mtawaonea sana wapinzani lakini mbinguni yawezekana ikawa zamu yenu.
 
Back
Top Bottom