Baada Ya Usaliti Sasa Ana Kula Bata Kwa Muda

Picha ilikuwa stoo, muda muafaka wa kuitoa ingawa hapo bado ana gwanda.
 
Jinga hilo limewatia aibu watu wa Mara wakurya
Wewe unakula na kulala kwa shemeji yako! Mwenzako ana maisha yake ana uwezo wa kula na kuwalisha wengne halafu mbaya zaidi wewe unayejiona mwelevu bado unasubiri yeye unayemwita mjinga ndio akutetee akuombee ajira ,akuombee maji n.k..
Hakika unatakiwa upimwe akili yako sio bure
 
Mpuuzi wewe mlete mama yako mzazi nimuoe hapa italy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom