Baada ya upasuaji hali ya Mhashamu Askofu Yuda Thadeus Ruwaichi inaendelea vyema. Rais Magufuli afika kumjulia hali

Mama Bikira Maria wewe ni ni mama wa msaada, ni kimbilio la wenye shida mama, tazama mama mwanao anateseka kwa maumivu makali, mama tunakulilia tunaomba msaada wako wa maombezi. Kumbuka pale msalabani Yesu alimwambia yule mwanafunzi wake amtazame mama yake, pia ulimwambia mama amtazame mwanae. Tunakuja kwako mama, tunakulilia, msaidie baba Rwaichi apone haraka.

Povu ruksa kwa wale wanaopinga. Ila ndio nishaomba hivyo, na nina amini Mama yetu Bikira Maria atafanya yake na mhashamu atapona soon
Kumbe hii mizimu ipo na inafanya kazi
 
Hutokea pale mishipa inayopeleka damu sehemu mbali mbali inavyopasuka na damu kuvilia kwenye ubongo.. ndo inabidi itolewe na ili isiendeleee kuleta madhara makubwa

Wanawezaje kuufikia ubongo mbona tunaambia ubongo ukiguswa tu hakuna maisha
 
I suspected this was the motive. Ila the damage has not been done. This event wont stop The Almighty God from working. He will change the archdiocese of Dar Es Salaam for better
Of course change is inevitable but not in favor of our Ted.
 
Lol....usilolijua ni kama usiku wa kiza nene. Aliyekuja nani amemleta? Yeye?
Nani ambayo hajui maslahi yanavyolindwa na kupiganiwa ndani ya kanisa? Na hilo ndio chanzo cha kashfa zote. Kuna ubinafsi na kulindana sana. People like promoting even the incompetent when it comes to defending their interest.
Tusisahau pia, biblia inasema, tunayoyafanya gizani yatajulikana nuruni.
Simtuhumu mtu, ila am shocked by the news. The bishop will be fine by Grace's of God. But never underestimate the power of evil even in this holy church.
Acha hizo wewe, kwani bishop hapaswi kuugua? Nani ameumbiwa maradhi?
 
Mama Bikira Maria wewe ni ni mama wa msaada, ni kimbilio la wenye shida mama, tazama mama mwanao anateseka kwa maumivu makali, mama tunakulilia tunaomba msaada wako wa maombezi. Kumbuka pale msalabani Yesu alimwambia yule mwanafunzi wake amtazame mama yake, pia ulimwambia mama amtazame mwanae. Tunakuja kwako mama, tunakulilia, msaidie baba Rwaichi apone haraka.

Povu ruksa kwa wale wanaopinga. Ila ndio nishaomba hivyo, na nina amini Mama yetu Bikira Maria atafanya yake na mhashamu atapona soon
dini hizi, mama bikira Maria nae ni mungu pia Kama mwanae yesu?!!
 
Hali ya Askofu mkuu wa Kanisa katoliki jimbo kuu la Dsm mhashamu Thadeus Ruwa'ichi aliyefanyiwa operesheni katika hospitali ya MOI inaendelea vizuri.

Prof bingwa wa upasuaji hospitalini hapo amesema baba Askofu amepata fahamu na ameanza kutambua watu na kuongea tofauti na alivyoletwa kwani alikuwa hajitambui kabisa

Tuendelee kumuombea baba Askofu

Chanzo: ITV habari!
 
Mungu amjalie afya njema.
 
Back
Top Bottom