Kwa upendo na uwezo wa Mungu naamini kuwa Kaka yetu mpendwa Mnyika atasalimika, na hata kama atajeruhiwa au kutokusalimika na imani kisasa kikuu lazima kilipizwe upande wa pili ili wajue watu hawajalala, na kama ni vita ndio wanaoitafuta ndio itaanzia hapo bila kukoma, eti Chadema sasa hivi, hawana wafuasi wa kutosha!, hao wanaosema hivyo wanajidanganya , wanafikiri kila mtu ni rahisi rahisi kuhongwa khanga na cash za CCM, wengine hawana mpango nazo na wengine wanawachuna tu, wanapokeapokea mwisho wa siku wanasepa, kama demu anayemchuna mwanaume asiyempenda kiukweli au jamaa anayemchuna Sugarmummy!