Baada ya ujauzito when to start(***)


Please WS,

Soma post za nyuma, hasa hasa #30-33.
 
Mama,
Many greetings. i totally agree to the idea. Hopefully invisible will grant us our wish.

Take care
 
Hii thread imetulia hongera zenu wote mliyotoa maujuzi... nimejifunza kitu
 
Mama et al,

Hilo jina (Jungu kuu ...) ni zuri. Hata hivyo nahofia linakuwa too general! Kama tunataka kujadili mambo ya Uzazi kama tulivyosema, basi tutafute jina ambalo baadaye halitaingiziwa thread zenye hadithi za paukwa pakawa.

na huko itabidi kuwe private ama vipi manake naona mwendo ni private tu...
 
na huko itabidi kuwe private ama vipi manake naona mwendo ni private tu...

I personally would go for an exclusive private access or some sort of restricted access. We need to talk about some of the critical things which take place in private bedrooms, labour wards etc. These can not be easily exposed on public display. Tunaweza kushitakiwa kwa kutokuwa na hekima/busara ingawa nia yetu ni nzuri! Wengine tunatembelea JF na watoto wetu na wajukuu pia!
 

...mnh, basi JF nao waje na Content Warning
The Forum that you are about to view may contain content only suitable for adults
. maana hizo sababu za watoto na wajukuu wanaotembelea JF zishakuwa nyingi... chekechea na underage wanafuata nini humu? 🙁
 
baada ya miezi mitatu ndo safi maana ndo inakuwa papuchi inakuwa imetulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…