Baada ya tunisia algeria nako kimewaka....

WATANZANIA NI WANGAPI HADI SASA (2005 - 2010) WENYE MAISHA BORA NA HADI HIVI SASA (2010 -2015) WAO WANAJIBIDISHA TU KUTAFUTA KIADA CHAKE NCHINI????

Watanzania wenzangu tuambizane ukweli hapa na tusifichane hali halisi ndani ya mifuko yetu. Mpaka hivi sasa wengi wetu HATUZUNGUMZII TENAUCHUMI wa maisha yetuTanzania bali hali halisi ni UCHUMA wa maisha yetu nchini. Je, wewe????

Baya zaidi, ajabu ninayoiona nkule bado CCM na JOPO LA MAFISADI wangependa Watanzania wote tukaseme tu YOTE NI MAISHA na kukimbilia kitanndani, baada kucheka na Masanja TBC, huku CC ya CCM wakibariki Dowans walimpwe.

Huku waliosbobea katika uchumi nchini wanatutahadharisha KIAMA DOWANS WAKILIPWA na kuongeza kuongeza kwamba tunachoona mpaka sasa kwa gharama ya maisha eti hapo bado ni mwanzo tu wa mapinduzi ya sinema nzima wa ahadi ya Maisha BORA ZAIDI kwa kila Mtanzania; na katika kutimiza hilo Mhe Kikwete na CCM wametuhakikishia dhamira zao za kutufikisha huko kwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi Zaidi.

Sasa Mtu endapo utakuwa hauoni MAISHA BORA ZAIDI basi wala usisubiri kuambiwa na mtu, Wenye kuona UGUMU ZAIDI KWA KILA NAFSI YAKE huyu si Mtanzania tena maana WATANZANIA WOTE waliopata ahadi hizo tangu siku nyingi tu (2005 - 2010) maisha yao ni bora kabisa hivi sasa (2010 - 2015) wanacho kitafu kiukweli ni Uziada wa UBORA HUO WA MAISHA.
HOJA YANGU:

Kwa mantki hiyo Mhe Kikwete na CCM, watu wa Takwimu nchini acheni kutu fikicha ukweli, Watanzania ni wastani wa watu wangapi nchini maana hili la watu milioni 46 wala sihitaji tafsiri ya mtaalamu kubani kwamba si kweli.
 
Kwa Tanzania, Nguvu ya Umma kungoa wafalme wa UFISADI, zoezi hilo liko jirani kuliko wakati mwingine wowote. CC ya CCM ndio wameandaa hiyo karamu ya kuagana salama na chama chao.

Bara la Africa limeamua kuanzia 2011 Viongozi wote wanaojiona WAFALME badala ya kuwa WATUMISHI wakuu wa raia wao kuondoka madarakani mara moja. Huu ni mfano ambao Ma-Bara mengine nao wataiga toka kwetu.

Yote yawezekana bila CCM!!!


 
Sasa ni zamu yetu. WaTZ tuache porojo nyingi. Let's unite and fight to chase out the BABYLON system.

AMANDLA.
 
Albania nayo KIMEWAKA.Hii poa sana nadhani waTZ watajifunza sana! Ila tatizo la umeme nalo linawanyima sana kupata info kama izi!
 
waTZ pole pole labda tutajifunza kuwakoromea hawa viongozi wanakuja kama kondoo wakati wanaomba kura baada ya kupata wanakuwa mafisi.
wanahudumia matumbo yao tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom