muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,909
- 14,873
Hii picha ina mushkeri...picha duka.
What Ooh! lion is here
Mbona alifika siku nyingi. Aliuliwa karibu na gate la hospital kuu.Watu wanaamia dodoma na mambo yao yasiyo eleweka eleweka ..soon utasikia kiboko kaonekana
kuna haja ya kufake Id kama unauwezo wa kuweka namba yako public!? si ungekuwa,verified kabisa!!0655254561
Acha uhuni!