Baada ya TCA..TPA sasa kufuata TAA

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Wadau naona Dr Mwakyembe baada ya kasafisha TCA, TPA na sasa ni zamu ya CEO pale TAA. Mi naona kasi ya uwekezaji ktk kujenga na kuboresha viwanja hauendani na ukuaji wa uchumi Afrika mashariki.
Ni mtizamo tu.
 
Wadau naona Dr Mwakyembe baada ya kasafisha TCA, TPA na sasa ni zamu ya Tesha pale TAA, maana nayeye miaka mingi hakuna alilofanya. Mi naona muda aliokaa kama CEO wa TAA na kasi ya ubora wa viwanja hauendani.
Ni mtizamo tu.
Acha hizo jomba.
Inaonyesha hujajishibisha vizuri na habari za hiyo TAA.
Tesha alishastaafu zaidi ya miaka 2 iliyopita.
Lakn ungekuwa umetenda haki kueleza specifically shida iko wapi, maana nijuavyo mm karibu viwanja kwa sasa vyote vina wakandarasi
 
E bwana nshukuru kwa info, maana nilikuwa sijui kama alishaachia. Sasa mkurugenzi ni nani? tatizo nipo kwa mkoloni kitambo.
 
E bwana nshukuru kwa info, maana nilikuwa sijui kama alishaachia. Sasa mkurugenzi ni nani? tatizo nipo kwa mkoloni kitambo.
Sasa hv yupo bwana anaitwa Eng. Suleiman Suleiman.
Hata hivyo ni vizuri kabisa Bwn Mwakyembe akaenda kutembelea huko aone ninini kinaendelea. Mimi mwenyewe sijajua ile miradi ya Mchina alikuwa akiitwa Sonango imeishia wapi, maana SIONI tena dalili za ujenzi wa Terminal III pale Kipawa walikohamishwa watu.
 
Yeah, huyo bwana Suleiman namkumbuka alikuwa ni mtendaji muadilifu sana kipindi fulani pale TAA na ndiye alizuia (tetesi) uuzaji (ubinafisishaji wa uwanja wa Mwanza). Maana nakumbuka lilichongwa dili na akina Mramba na Tesha wakia USA yeye akiwa anakaimu halafu dili likaja yeye akasema hawezi fanya hiyo kukubali, sula hili lilienda mpaka kwa mwanasheria mkuu wa serikali akampatia ushauri wa kisheria wa kumlinda na kweli uwanja ukawa umepona. Sema kindi cha Tesha kulikuwa na madudu mengi, mfano ule uwanja wa Mbeya, walikuwa wanakula sana rushwa waliokuwa wanasimamia, ila sina hakika kama ulishaisha. Ila ni muhimu apangalie hata kuwapumzisha wengine kama watakuwa wanazuia mipango mizuri ya Suleiman. Nadhani huyu jamaa mpaka leo ni muadilifu.
 
Back
Top Bottom