KIBOD3 Senior Member Sep 11, 2016 125 176 Sep 14, 2016 #1 Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu"
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu"
Francis Mawere JF-Expert Member Nov 17, 2015 954 825 Sep 14, 2016 #10 Dawa ya Moto ni Moto, Mwaga mboga tumwage Ugali.
FREE LUNCH JF-Expert Member Nov 21, 2014 495 333 Sep 14, 2016 #11 The world is not fair, I can't be fair. Jino kwa jino...
bigmind JF-Expert Member Oct 28, 2015 12,457 12,668 Sep 14, 2016 #13 Makubwa haya..! Sin kifua cha kuyabeba haya..!
brigedia mafia JF-Expert Member Jul 21, 2016 2,264 2,275 Sep 14, 2016 #16 Fid Q kaimba "Akikupiga ngumi ya skio na wewe mpige ngumi ya jicho, akikuuliza unajiskiaje na wewe muulize unaonaje"
Fid Q kaimba "Akikupiga ngumi ya skio na wewe mpige ngumi ya jicho, akikuuliza unajiskiaje na wewe muulize unaonaje"
McFerson JF-Expert Member Jan 8, 2015 2,120 2,167 Sep 15, 2016 #17 namwona mama mtoto akikaa dakika tatu bila kupiga kope wala kuangalia pembeni baada ya kuisoma sms