Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji

KIBOD3

Senior Member
Sep 11, 2016
125
176
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:-

"Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako"

Mume akamjibu:-
"Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu"
1f602.png
1f602.png
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom