Nimelazimika kuandika kidogo hapa kusikia wenzangu mnajua nini juu ya aina hizi ya Ziara za Marais kamam Bush kwenye Nchi masikini .Hii Ziara mimi imeniacha gizani kwa kuambiwa ina faida kubwa sana kwa ujio wake .
Mimi ningalipenda kama faida itazidi gharama ambazo Tanzania itakuwa imeingia kwa kumpokeana kukaa naye siku kadhaa nyumbani .Walio wengi hata wazungu wenye mapesa huko Ulaya ziara za Bush Nchini mwao huwa wanazikwepa sana maana ni gharama na mzigo kwa Nchi zao muda wowote awapo kwao .Sisi rais wetu kasema ni faida kubwa kuja kwake na hata watu wameanza kuimbishwa faida hizo .Je mnaweza kunisaidia katika hili ?
Mwisho naomba Ikulu ama mambo ya nje tafadhali sana mtupatie matumizi ama jumla ya gharama baada ya safari ya G.W.Bush