Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

 
Kanisa kubwa lisiloamini nguvu za Mungu!! Lina mfano wa utakuwa lakini linakana nguvu za Mungu!
 
Kanisa kubwa lisiloamini nguvu za Mungu!! Lina mfano wa utakuwa lakini linakana nguvu za Mungu!
aliekwambia haliamini nguvu za Mungu ni nani?
Kumuamini Mungu haimaanishi u relax atakufanyia kila kitu.
Nope, Mungu hafanyi kazi na wavivu. anafanya kazi na wanamwamini na kujituma. hiyo ndio concept ya kanisa.
ndio maana mapadre wengi ni wasomi sana licha ya kusimama madhabahuni.

unafikiri wao kufikia hapo waliingia kwenye chumba cha mtihani bila kusoma? halaf Mungu akawashushia majibu kutoka mbinguni?
nope
 
Kumbe

Mpumbavu huwa hajitambui, imani yako usilazimishe kuwa imani ya wote. Kwa wakatoliki baa na pombe sio dhambi. Nitajie dini yoyote bambayo waumini wake hawatumii pombe kabisa.
kumbuka hii ni taasisi yenye umri zaidi ha mika 2000
 
Unawafahamu maalshabaab lakini?
 
kunaubaya gani kanisa kumiliki guest house(nyumba ya wageni)
 
Ninyi wanasiasa uchwara ndio mnawaharibia hao viongozi wa dini (sio kiroho).

Kiongozi wa kiroho ana HEKIMA na BUSARA anapowakilisha ujumbe kwa jamii na utawala sio kuropoka kwenye kuzua HOFU. Kiongozi wa kiroho anatia moyo, anahimiza ujasiri, anahimiza uvumilivu, anahimiza kuheshimiana na anakumbusha kutii mamlaka.

Ukishaambiwa kuna utaratibu wa kufanya jambo fulani zingatia hilo kinyume chake ni kuwa na nia ovu ya kuchochea mifarakano na kutotii mamlaka.

Mbona huyo padri walipokuwa wanafariki wananchi wa kawaida ambao inawezekana kuna waumini wake hakujitokeza kutoa tamko hadi waguswe mapadri wenzie na watawa kama sio ubaguzi wa kitabaka?

Ni vema kutoa tahadhari lakini sio kwa mtindo wa kuonesha kana kwamba serikali imepuuzia tahadhari hizo huko ni kukengeuka.

Tambueni kwamba hata ukikaa umbali, ukiosha mikono, kuvaa barakoa na kupata chanjo haikusaidii chochote kuepuka, kuongeza kinga ili kujihakikishia usalama dhidi ya maambukizi ya UVIKO.

FACTS
  • Experts say people can still spread and even develop COVID-19 after getting a vaccine.
  • They note the immunity from the vaccine doesn’t begin to emerge until at least 12 days after inoculation.
  • They add the vaccine doesn’t prevent coronavirus infection. It helps protect against serious illnesses.
  • Experts advise people who get vaccinated to continue wearing a mask, washing their hands, and maintaining proper physical distancing.
Source: You Can Spread COVID-19 After Getting a Vaccine
 
Wakatoliki wafanye wanavyoweza wao, serikali haina Muda wakushurutisha watu wavae barakora.
 
Kumbe



Mpumbavu huwa hajitambui, imani yako usilazimishe kuwa imani ya wote. Kwa wakatoliki baa na pombe sio dhambi. Nitajie dini yoyote bambayo waumini wake hawatumii pombe kabisa.
kumbuka hii ni taasisi yenye umri zaidi ha mika 2000
sijalazimisha imani yangu kwa mtu yoyote! hata iwe ni taasisi ya miaka bilioni mbili mungu ni yuleyule biblia ni ileile
 
kanisa linawafunga sana akili sio siri huwezi fikiri nje ya box hata kidogo mpaka uwe mjanja sana na uwe ushaona vingi ndo unaweza kufikiri na kutafakari vizuri, umebatizwa una mieizi 6 hata baba yako humjui sembuse mungu umekulia ktk kafundisho na imani ya kikristo ukaaminishwa tangu utotoni, ni ngum sana kuvunja hizo chains

kwa reference hiyo hiyo ya kwako cha kwanza kanisa ni jumuiya ya watu walioipokea habari njema juu ya kristo kutubu dhambi zao na kumrejea mungu, kanisa sio jengo, petro alipewa mamlaka ya kusimamia uenezaji wa injili akisaidiana na wale mitume wengine, na wala biblia haisemi hilo kanisa litaitwa kanisa katoliki. kanisa katoliki limejimilikisha imani na kuaminishawatu waondo walipewa kanisa wakati imani ni kitu huru kama hewa, na wala halisemi kwamba kutakua na dini itakayoitwa ya kikristo, hata paulo katika nyaraka zake anatumia neno "kanisa", kwa kanisa la antiokia,galatia n.k na sio "wakristo"

na aliyesema hao waliobatizwa waitwe wakristo ni nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…