mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
- Thread starter
- #21
tatizo liko wapi mkuuUtakuwa mji wa ajabu usio na msitu
Badala ya Miti pori sasa kuna Mikorosho...
Badala ya majani pori sasa kuna michicha,mihogo, mahindi...
ni mipango, sisi wengine tunabonyeza herufi tu huku kusogeza siku sio lazima yafanywe...