Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Niliwahi kusikia huko nyuma kuwa eti NIMRI 'walikuwa wako karibuni kugundua' dawa ya UKIMWI mara baada ya mda kidogo mambo yakawa magumu, wakaingia mitini... Wakajichimbia weeee, baadaye tena wakaja na lingine, eti wamegundua chanjo ya Malaria na watu wakajitokeza kwa ajili ya majaribio ya chanjo... Huko nako wakabuma!
Wamekaa tena kufikiria nitoke vipi, sasa wamekuja na hili la ugonjwa wa ZIKA! Kabla hawajabuma tena wamekwaa kisiki cha mfalme na wametumbuliwa.
Poleni sana NIMRI, mlizoea kuishi kiujanja ujanja na kutafuna kodi za wananchi, huku mkituhadaa kuwa mnafanya mambo makubwa kumbe mmelundikana ofisini tu kama wapiga ramli!
Poleni sana...