Baada ya mwl.Nyerere Raisi ni Dr.Kikwete

mamichu

Member
Feb 22, 2012
7
1
Mwalimu alikuwa na busara na kuona mbali,Dr.JK Yeye kawaachia uwazi ili mjionee madudu yaliyokuwa yakifanywa na wenye nafasi zao ndani ya mfumo tangu utawala wa awamu ya pili...
 
Mimi nasema hata Nyerere hampati uongozi wa Kikwete hata kidogo. Nyerere ndio hafai kabisa tena, sana sana aongee watu wajichekeshe hata kama hakuna cha kucheka.

Kikwete ni "Chaguo la Mungu". Na Kikwete "bado ni chaguo la Mungu" - Askofu Kilaini.
[h=3][/h]
 
Entrance strategies not equal to exit strategies: Mkapa's entrance was of Mr. Clean and left the office filth rich and very unclean, Kikwete's entrance was very unclean and want to leave the country with a clean legacy (if he can maintain what he is doing now). I do support what he is doing now for this country.
 
Entrance strategies not equal to exit strategies: Mkapa's entrance was of Mr. Clean and left the office filth rich and very unclean, Kikwete's entrance was very unclean and want to leave the country with a clean legacy (if he can maintain what he is doing now). I do support what he is doing now for this country.

mbona huko out of the thread AVOID TO BE A MISER IN THINKING!
 
Aisifuye mvua ujue....., Saizi ukikuta mtu hasa kijana anasifia CCM hebu kaa pembeni mchunguze vizuri, utagundua either ana link na ufisadi unafanyika (maana viongozi nchi hii wanavuna nchi)hata ukimuuliza asuport anachokisema hawezi.
 
Fuata kanuni za ulinganifu: kama ni busara sema Nyerere alikuwa na busara Kikwete hana. Kma ni uwazi sema Kikwete ni muwazi kiasi cha kuwa uchi Nyerere alikuwa msiri(closed system). Uwe pia na mifano ya kukazia hoja yako.Binafsi naona mizania ya ulinganifu ina mapungufu

  • Huwezi kulinganisha kiongozi aliyeko kwenye madaraka na aliyeacha. Watu wengi hulazimika kujipendekeza kwa yule aliyeko madarakani ili kulinda maslahi yao kama vile kumkweza Kikwete.
  • Watu hupenda kumkashifu kiongozi aliyepita kwa kuwa hawana cha kupoteza au katika kutekeleza majukumu yake ya kawaida aliwazuia kufanya jambo fulani baya au hakuwapendelea kama walivyotarajia, alifuata haki bini sawia. Mfano Mkapa na waandishi wa Habari.
  • Vigezo vya kulinganisha havina uzito sawa. Mfano kuinua uchumi na uwazi. Watu hawawezi kutia mfukoni uwazi wakaenda kulipia ada za watoto wao. Busara na uwazi, pia havina uzito sawa Busara ni kufanya mambo kwa umakini mkubwa,ukiwemo uwazi, bila kuleta mitafaluku isio kuwa ya lazima .Mwenye busara hupima madhara ya uwazi na usiri pia. Mwenye uwazi peke yake huwa wazi kiasi cha kuwa uchi bila hata kujali aibu ya kuwa uchi. Mfano Michael Gobachev wa Urusi.Madhara aliyoleta mpaka leo Dunia inaugulia vidonda ingawa wapo walifaidika na uwazi ule.
  • Uwazi mwingine ni dalili ya uwoga wa kushindwa kutetea kile unachokiamini hatimaye kulazimika kukiweka wazi hata kama hukuwa na nia ya kuweka wazi. Mazingira yana kulazimisha. Mfano mahakamani. Shahidi anaweza kulazimika kueleza kwa uwazi kutokana na maswali anayoulizwa. Shahidi huyu hawezi kusifika kwa kusema ukweli. Taarifa ya CAG imembana Kikwete kalazimika kuwaondoa Mawaziri wabovu. Sio kama hakuwajua aliwajua bali alifanya siri yake, hata Jairo na Blandina, aliwajua aliweka siri. Hivyo basi Kikwete sio muwazi kama unavyodhani ni msiri na hodari wa usiri ila akibanwa ni mwoga na humwaga siri zote. Ni kama...............
 
Back
Top Bottom