sijui kwanini hili la mali huwa linatutoa sana roho wanawake ndoa inapofikia hatua hii!
wengi huwa tunasahau kuwa kwa hatua ilipofika kwa hiyo ndoa tayari huyo mwanaume ameshatunyang'anya zaidi ya mali
KUJITAMBUA!
na hakika hili ukilikosa hata uwe na mali kiasi gani huwa haziwezi kutusaidia
mali zitawafaa vipi watoto ambao wanakua katika familia iliyojaa udhalimu?
mali zitawafaa vipi watoto waliolelewa na mama aliye na low self esteem?
mali zitawafaa nini watoto waliozungukwa na ndugu wa baba wanaomuongelea na kumtusi mama yao?
Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje
Pole sana omba kwanza hii topic wairudishe mmu .tulia kwanza na kuomba ushauri kwa wazee hasa wazazi wako
Na wewe njoo uzae na mimi ili umkomeshe na ulipe kisasi.
Mungu anakuambia hivi na society inakuambia bakia msamehe,unabahati mungu ameshakuonyesha alivyo usibishane na mungu ondoka.mungu atakuyafutia mwingineBut huyu mume ni kama 'kalogwa' vile
kumuacha tu badala ya kumsaidia?
si mke ni wa shida na raha?
Roho ya kupenda haina kigugumizi.
Kaa ukijua kuwa:
1. Hakupendi wala hakutaki TENA
2. Ukoo mzima umekuchoka
3. Inaelekea wewe ndo una tatizo SI RAHISI mume kukuhama miezi 8+ ndugu wachache wangekutetea
4.Mapenzi hayana cha umri wala nini, mwenzio amekupiku. Baada ya kuzaa watoto 4 amefunzwa na dunia hivyo anajua kuhandle familia.
5. Familia ni zaidi ya mumeo na watoto wako
6. Kila kitu kina sababu; ondoka wala usigeuke nyuma
7. Mlango ukifungwa, dirisha hufunguliwa......sepa fasta huna chako uspoteze muda dudu jeusi kafungua mlango
8. Nyumba yenu imejaa nyufa. Nyufa hutokea kwa sababu!......
ILI MWANGA UPENYE.....
UPO HAPO DADA????????????????????????????????
We shoga tu
Please leave as soon as possible Kama human kazi nu inbox Nitakuajiri .usinyanyasike na mwanaume duh pole sana .na Kama huna pa kwenda nitakutafutia pa kuka.yaani machozi ya nanitoka duh .dada HIV uOndoke mambo ya
Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje
Ni In box .Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje
Hahahaha kweli we ni noumer,mwanaume huyo angehama mwenyewe wasingethubutu kukuzingua.Lonely heart kwanza nakushukuru sana kwamba ulikuwa courageous ili kujua kwann hubby amebadilika to such extent and what i see b=ni kwamba kwa huyu bwana kuwa mmachame na mawifi na mama mkwe ndo hao atake it from me am also mmachame hao wamekuinamisha huamini kaa na wat wazima watakuambia.
ushauri wangu kwako, una moyo wa jiwe kama wangu? fanya hivi ndani kwakoa usitoke hakuna kunyanyua kwakoa eti unatoka kwani ulikua unalala chini walikuja kulala nae? umelia vya kurumanga ukachumia kivulini sasa eti uondoke umpishe huyo bazazi?
to me usiame chumba na kaa humo ndani na wanao akitaka aoe amlete humo na uwe firm tangaza msiamao wako ikishindikana leta hata polis asiingie mwanamke humo ndani aondoke yeye.
kuwa ngangari usiwe legelege kamwe, omba Mungu akupe ujasiri kisha mwambaaie wazi hapa umetangaza uwanja wa vita , wewe mpalestina mm muisrael na hapa ni Gaza majesh ya Nato yawe ni kauli zako na wakileta ubabe sku nyanyua mwiko charaza mmoja wa usoni kama ni wifi hadi atoke kovu kesi ikienda kmahakaman unasema alikuja kunipiga nikawa najitetea. lol!
uwiiiiiiii hela nlotafuta mm kwa mkono wangu hivi aisee sielewiiiiiiiiii yaani hapa sipotez shiling yangu wala hakuna mtu wa kula jasho langu bure yaani dada anyway tukutane kule maemneo aisee nikupe maujanja ila sharti uvae moyo wa chuma mm kwangu ni gaza ukileta za kuleta.
Ni In box .
Nampigia Anna makindaKama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoJa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje
Nampigia Anna makinda
mpigie basi umsaidie ila asitoke kwake kwani alikuwa mchapa kazi sana walianza maisha ya chini sana, hadi leo wamejenga nyumba 2 na magari 3 wanamiliki. kama inawezekana huyu mume akaadabishwa na pia akafilisiwa kisha mkewe akapewa haki yake ingekuwa nzuri sana
Napenda pesa kufa naenda Mali .ila mume akininyanyasa naanza hata nguo sibebi.nina attitude inaitwa "I can do it ".mpigie basi umsaidie ila asitoke kwake kwani alikuwa mchapa kazi sana walianza maisha ya chini sana, hadi leo wamejenga nyumba 2 na magari 3 wanamiliki. kama inawezekana huyu mume akaadabishwa na pia akafilisiwa kisha mkewe akapewa haki yake ingekuwa nzuri sana