Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lonely heart, Oct 19, 2012.

 1. L

  Lonely heart Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pole sana omba kwanza hii topic wairudishe mmu .tulia kwanza na kuomba ushauri kwa wazee hasa wazazi wako
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Na wewe njoo uzae na mimi ili umkomeshe na ulipe kisasi.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hy id tu ni jibu tosha,Lonely heart kimbia ufe
   
 5. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  yupo serious acha ujinga
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Huyu sio mama Ngina huyu.....
  Keshaniharibia humu JF...........................LOL

  :focus: Ihamishie Mapenzi Mahusiano na Urafiki (MMU) tunaweza kusaidia kutoa ushauri,.... Huku watakukwaza wenye ukumbi wao...LOL
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Dudu Jeusi lenye akili nyeusi!
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ata mimi nipo serious,Acha upumbavu.
   
 9. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  We shoga tu
   
 10. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Akifanya hivyo mwisho wa siku bado atabakia kuwa victim..atakuwa haja solve chochote Mr. Black dudu..utamuongezea matatizo tu.
   
 11. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Very very serious DUDU JEUSI kuna watu wana matatizo na wakitoa humu wanategemea majibu ya serious minds, plz stop teasing. Thi is NOT the first time s
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Dada yangu sijui kwanini bado unaendelea kujifunga katika mateso, the only way i see for you ni kukaa pembeni nakujenga maisha yako. Unavyozidi kukaa karibu na huyo bwana ni kuendelea kujitesa wewe na wanao..........ondoka dada no matter how difficult it is, lakini utapata tu kupitia maombi kwa Mwenyezi Mungu
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hebu anza na maombi kwanza
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  But huyu mume ni kama 'kalogwa' vile
  kumuacha tu badala ya kumsaidia?
  si mke ni wa shida na raha?
   
 15. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kurogwa? Inahusu? Hayastaili hayo mateso ndio maana nimemwambia akae kando yeye amuombe Mungu huku akiendeleza michakato yake mingine na ninaamini Mwenyezi Mungu ndio muweza wa yote, hili kwake ni suala dogo mno atawapoteza kabisa maadui zake, but kwasasa ajikalie pembeni kuepusha msongamano
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wifi zako, mume na mama mkwe hawakunyanyasi....

  Unajinyanyasa mwenyewe kwa kung'ang'ania mwanaume ambaye mapenzi yake kwako yameisha.......

  Nakutakia kujinyanyasa kwema.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  inaelekea huyu dada anaogopa maisha.....
  Anaogopa kuanza mwenyewe......
  Na zaidi anahofia kupoteza nyumba,

  alichosahau kuwa nyumba na pesa hutafutwa........

  Ameweka rehani furaha yake....

  Ameweka rehaani ukuaji wa mwanae....
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mamii hebu twende chemba!
   
 19. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Maybe that's true BADILI TABIA.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  The Boss rafiki yangu i beg to differ with yu!huyu dada anazidi kujiumiza kwenye hii ndoa last time nilimwambia kuna wakati tunajitoa mno sadaka kwenye ndoa amabzo wakti mwingine wala they don worth it.\
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...