Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

sijui kwanini hili la mali huwa linatutoa sana roho wanawake ndoa inapofikia hatua hii!
wengi huwa tunasahau kuwa kwa hatua ilipofika kwa hiyo ndoa tayari huyo mwanaume ameshatunyang'anya zaidi ya mali
KUJITAMBUA!
na hakika hili ukilikosa hata uwe na mali kiasi gani huwa haziwezi kutusaidia
mali zitawafaa vipi watoto ambao wanakua katika familia iliyojaa udhalimu?
mali zitawafaa vipi watoto waliolelewa na mama aliye na low self esteem?
mali zitawafaa nini watoto waliozungukwa na ndugu wa baba wanaomuongelea na kumtusi mama yao?

hili la mali linasababisha wamama wengi 'wafe ole pole'
mali hizi ukichanganya na ndugu wenye tamaa na washirikina
ni bonge la kasheshe....
wamama mkiweza kusamehe mali basi mbona mtaweza kujikomboa
 
Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje

Uondoke huruma Za nini ?jamani mwanaume unameonea huruma .duh Wewe you must have very low esteem and insecure.remember your somebody's child and God loves you very much .kama huna kazi ni inbox
 
But huyu mume ni kama 'kalogwa' vile
kumuacha tu badala ya kumsaidia?
si mke ni wa shida na raha?
Mungu anakuambia hivi na society inakuambia bakia msamehe,unabahati mungu ameshakuonyesha alivyo usibishane na mungu ondoka.mungu atakuyafutia mwingine
 
Lonely heart kwanza nakushukuru sana kwamba ulikuwa courageous ili kujua kwann hubby amebadilika to such extent and what i see b=ni kwamba kwa huyu bwana kuwa mmachame na mawifi na mama mkwe ndo hao atake it from me am also mmachame hao wamekuinamisha huamini kaa na wat wazima watakuambia.

ushauri wangu kwako, una moyo wa jiwe kama wangu? fanya hivi ndani kwako usitoke hakuna kunyanyua kwato eti unatoka kwani ulikua unalala chini walikuja kulala nae? umelia vya kurumanga ukachumia kivulini sasa eti uondoke umpishe huyo bazazi?

to me usiame chumba na kaa humo ndani na wanao akitaka aoe amlete humo na uwe firm tangaza msimamo wako ikishindikana leta hata polis asiingie mwanamke humo ndani aondoke yeye.

kuwa ngangari usiwe legelege kamwe, omba Mungu akupe ujasiri kisha mwambaaie wazi hapa umetangaza uwanja wa vita , wewe mpalestina mm muisrael na hapa ni Gaza majesh ya Nato yawe ni kauli zako na wakileta ubabe siku nyanyua mwiko charaza mmoja wa usoni kama ni wifi hadi atoke kovu kesi ikienda mahakaman unasema alikuja kunipiga nikawa najitetea. lol!

uwiiiiiiii hela nlotafuta mm kwa mkono wangu hivi aisee sielewiiiiiiiiii yaani hapa sipotez shiling yangu wala hakuna mtu wa kula jasho langu bure yaani dada anyway tukutane kule maeneo aisee nikupe maujanja ila sharti uvae moyo wa chuma mm kwangu ni gaza ukileta za kuleta.
 
Roho ya kupenda haina kigugumizi.

Kaa ukijua kuwa:

1. Hakupendi wala hakutaki TENA
2. Ukoo mzima umekuchoka
3. Inaelekea wewe ndo una tatizo SI RAHISI mume kukuhama miezi 8+ ndugu wachache wangekutetea
4.Mapenzi hayana cha umri wala nini, mwenzio amekupiku. Baada ya kuzaa watoto 4 amefunzwa na dunia hivyo anajua kuhandle familia.
5. Familia ni zaidi ya mumeo na watoto wako

6. Kila kitu kina sababu; ondoka wala usigeuke nyuma
7. Mlango ukifungwa, dirisha hufunguliwa......sepa fasta huna chako uspoteze muda dudu jeusi kafungua mlango
8. Nyumba yenu imejaa nyufa. Nyufa hutokea kwa sababu!......

ILI MWANGA UPENYE.....

UPO HAPO DADA????????????????????????????????

Duh! wewe dini gani?
 
Pole sana dada kwa yanayokupata kwani ni mapito tu! Nenda kanisani usali sana pia muachie Mungu maana pekee ndiye awezaye kwa kua ukitaka kushindana na ya ulimwengu huu utakufa wewe na utayaacha kwanza ndo yanaanza mwanzo!. Pole sana
 
Labda kabla ya kukushauri wewe unadhani mambo gani yapo ndani ya uwezo wako kimaamuzi?kama nikijua nami naweza kukushauri na je ndoa yako ni ya kanisani,msikitini au bomani.Nisaidie niwe huru kiushauri tafadhali.
 
duh, kumbe una huruma Natalia.

Nimekuongezea marks kwa kweli, kama haya maneno yanatoka moyoni.

Please leave as soon as possible Kama human kazi nu inbox Nitakuajiri .usinyanyasike na mwanaume duh pole sana .na Kama huna pa kwenda nitakutafutia pa kuka.yaani machozi ya nanitoka duh .dada HIV uOndoke mambo ya
 
Ndoa ni furaha,aman,upendo na kila kitu pia upo uvumilivu ila inategemea unavumilia nn?acha kutoitendea nafsi yako haki..acha kujitesa na kumuonea huruma mwanaume asiyejionea huruma..acha kuwaendekeza mawifi plus mama mkwe.acha kulalamika na simama usonge mbele na wanao..acha uoga na uvivu wa kujitEgemea,acha kufikiria jamii itakuchukuliaje..acha kung'ang'ania ndoa ambayo haipo,acha kabisa utumwa wa kifikra kwamba ipo siku atajirudi so unasubiri miujiza ya Yesu ukiwa bado upo naye..acha kabisa hayo mambo ya kujipa moyo ambayo hayapo..chapa mwendo mwanamke na ipo siku atakufuata ulipo na uache kuomba ushauri wakat jibu unalo.
 
Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje

Please tell us una kazi au unamsaada wa wazazi au ndio uliolewa ulikutwa kwa wazazi?hatuwezi kukusaidia maana situation zinatofautiana na maisha .mimi nimeolewa ila mwanaume wangu anajua nikifanya nyoo.amekwisha .kwa sababu amenikuta Nina kazi na nipo super independent .akanioa nakaa nyumbani kwa sababu nataka .ninavyeti na nikiamua kupiga mzigo napiga mzigo.
 
Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje
Ni In box .
 
Lonely heart kwanza nakushukuru sana kwamba ulikuwa courageous ili kujua kwann hubby amebadilika to such extent and what i see b=ni kwamba kwa huyu bwana kuwa mmachame na mawifi na mama mkwe ndo hao atake it from me am also mmachame hao wamekuinamisha huamini kaa na wat wazima watakuambia.

ushauri wangu kwako, una moyo wa jiwe kama wangu? fanya hivi ndani kwakoa usitoke hakuna kunyanyua kwakoa eti unatoka kwani ulikua unalala chini walikuja kulala nae? umelia vya kurumanga ukachumia kivulini sasa eti uondoke umpishe huyo bazazi?

to me usiame chumba na kaa humo ndani na wanao akitaka aoe amlete humo na uwe firm tangaza msiamao wako ikishindikana leta hata polis asiingie mwanamke humo ndani aondoke yeye.

kuwa ngangari usiwe legelege kamwe, omba Mungu akupe ujasiri kisha mwambaaie wazi hapa umetangaza uwanja wa vita , wewe mpalestina mm muisrael na hapa ni Gaza majesh ya Nato yawe ni kauli zako na wakileta ubabe sku nyanyua mwiko charaza mmoja wa usoni kama ni wifi hadi atoke kovu kesi ikienda kmahakaman unasema alikuja kunipiga nikawa najitetea. lol!

uwiiiiiiii hela nlotafuta mm kwa mkono wangu hivi aisee sielewiiiiiiiiii yaani hapa sipotez shiling yangu wala hakuna mtu wa kula jasho langu bure yaani dada anyway tukutane kule maemneo aisee nikupe maujanja ila sharti uvae moyo wa chuma mm kwangu ni gaza ukileta za kuleta.
Hahahaha kweli we ni noumer,mwanaume huyo angehama mwenyewe wasingethubutu kukuzingua.
 
Last edited by a moderator:
Kama nilivyowah kuwaeleza manyanyaso toka kwa mama mkwe na mawifi baada ya kukataa wasinitawale,Na hatimaye mume wangu akajiunga nao na kuninyanyasa nilipokua mjamzito na kunisababishia matatizo makubwa na kunipelekea kujifungua mtoto (boy)wa miez 7...na baada ya kujifungua mume wangu akahama chumba na kuninyima unyumba, nimefanya utafiti na kugundua MUME WANGU ANA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE MTOTO(girl 1yr) na mwanamke huyo amemzidi mume wangu miaka 8 na anajumla ya watoto 4 kila mtoto na baba yake.na taarifa za kusikitisha ni kwamba mawifi zangu wanamshawishi mume wangu afumge naye ndoJa ili wanikomoe. Namuonea huruma sana mume wangu,mimi na watoto wangu.Naombeni ushauri nifanyaje
Nampigia Anna makinda
 
Nampigia Anna makinda

mpigie basi umsaidie ila asitoke kwake kwani alikuwa mchapa kazi sana walianza maisha ya chini sana, hadi leo wamejenga nyumba 2 na magari 3 wanamiliki. kama inawezekana huyu mume akaadabishwa na pia akafilisiwa kisha mkewe akapewa haki yake ingekuwa nzuri sana
 
Mpango Mzima,Harakati Njema...Tuko Pamoja Mpaka Usawa Utendeke!
LONEY tetea Jasho Lako,Amka Sasa Dadangu!!
 
mpigie basi umsaidie ila asitoke kwake kwani alikuwa mchapa kazi sana walianza maisha ya chini sana, hadi leo wamejenga nyumba 2 na magari 3 wanamiliki. kama inawezekana huyu mume akaadabishwa na pia akafilisiwa kisha mkewe akapewa haki yake ingekuwa nzuri sana
Napenda pesa kufa naenda Mali .ila mume akininyanyasa naanza hata nguo sibebi.nina attitude inaitwa "I can do it ".
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom