Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

Napenda pesa kufa naenda Mali .ila mume akininyanyasa naanza hata nguo sibebi.nina attitude inaitwa "I can do it ".

yaaani mimi niko tofauti napenda hela and i never loose a single penny. to me cheza na mm utakavyo but not my money, not my hubby and not my kids.

mume afanye afafanyavyo mateso never hurt me but jasho langu milele nitalia nalo hadi tone la mwisho. ananijua na anasemaga pesa ya mpalestina inauma sana, na mm huwa namwambia ni nyoka tena wa vichwa saba.
 
mpigie basi umsaidie ila asitoke kwake kwani alikuwa mchapa kazi sana walianza maisha ya chini sana, hadi leo wamejenga nyumba 2 na magari 3 wanamiliki. kama inawezekana huyu mume akaadabishwa na pia akafilisiwa kisha mkewe akapewa haki yake ingekuwa nzuri sana

Wewe mdada unataka tumdhalilishe kaka huyu bungeni.ni in box jina lake trust me Atakuwa funzo kwa wote .,Kama unataka tumwandike Kwenye gazeti sema Kama unataka afukuzwe kazi sema.kama unataka title yake sema .
 
yaaani mimi niko tofauti napenda hela and i never loose a single penny. to me cheza na mm utakavyo but not my money, not my hubby and not my kids.

mume afanye afafanyavyo mateso never hurt me but jasho langu milele nitalia nalo hadi tone la mwisho. ananijua na anasemaga pesa ya mpalestina inauma sana, na mm huwa namwambia ni nyoka tena wa vichwa saba.

Yaani hapa Nina defensive class certificate.mwanaume akifanya mchezo tu
 
Wewe mdada unataka tumdhalilishe kaka huyu bungeni.ni in box jina lake trust me Atakuwa funzo kwa wote .,Kama unataka tumwandike Kwenye gazeti sema Kama unataka afukuzwe kazi sema.kama unataka title yake sema .

hapa tupiganie haki ya mwanamke mwenzetu nazo ni jasho lake alivyotumika hadi wakafika hapo walipo sasa na mume kumwona si kitu mali akaamua kuwasikiliza dada zake.

to me msaada uwe wa kumfilisi mume, kisha mke apewe haki yake na wanae ili wakaanze maisha mengine na mwanaume akaanze yake. simshauri kuondoka kwani alipotokea Munu ndo shahidi na alipo watu wote ni mashahidi na efforts kubwa ni za huyu dada. huyu bwana asiishie kudhalilishwa tu bali atiwe adabu hadi akome maisha yake.

ushauri kwa mabinti wengine

unapochumbiwa na mwanaume mmachame uwe makini sana mawifi hawa ni matatizo makubwa sana na huu ni ukweli ingawa wengi watapinga.
 
Yaani hapa Nina defensive class certificate.mwanaume akifanya mchezo tu
aisee mm basi nafikir nina phd yake manake yote naweza kuvumilia but not ufujaji wa hela zangu na ukicheza tu imekula kwako..........hapa lazima watasema si kwasababu ni m-palestina yule!
 
Serikali ya kichwa ya mumeo ishavurugwa msaada uliobaki kwako ni kufunga na kuomba kwa mungu tuu na mumeo atarudi kwenye hali yake ya kawaida
 
Serikali ya kichwa ya mumeo ishavurugwa msaada uliobaki kwako ni kufunga na kuomba kwa mungu tuu na mumeo atarudi kwenye hali yake ya kawaida
Mungu amesema nimeluleta duniani uchague mazuri na mabaya.mungu kasema niite nitakuitikia,piga hodi nitakufungulia,asiyefanya kazi na asile.unalo hilo
 
Wewe mdada unataka tumdhalilishe kaka huyu bungeni.ni in box jina lake trust me Atakuwa funzo kwa wote .,Kama unataka tumwandike Kwenye gazeti sema Kama unataka afukuzwe kazi sema.kama unataka title yake sema .
kwa msaada wa watu wa geneva! gfsonwin sema mama unataka afanhywajeeeeeeeee huyu simbilisi!
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu sijui kwanini bado unaendelea kujifunga katika mateso, the only way i see for you ni kukaa pembeni nakujenga maisha yako. Unavyozidi kukaa karibu na huyo bwana ni kuendelea kujitesa wewe na wanao..........ondoka dada no matter how difficult it is, lakini utapata tu kupitia maombi kwa Mwenyezi Mungu

Eliza, ushauri wako ni sawa lakini unapotoa comments hizo inatakiwa uwe umepata background nzuri ya mtu mwenyewe (hasa maisha yake)
 
Baada ya kugundua kw kazaa nje ya ndoa na wakajua nitajua wakamshauri abadilishe hati za nyumba na magari kwa kuhofia nitamfilisi aandike jina la mwanangu mdogo wa kiume.
 
Dada yangu sijui kwanini bado unaendelea kujifunga katika mateso, the only way i see for you ni kukaa pembeni nakujenga maisha yako. Unavyozidi kukaa karibu na huyo bwana ni kuendelea kujitesa wewe na wanao..........ondoka dada no matter how difficult it is, lakini utapata tu kupitia maombi kwa Mwenyezi Mungu

Wala si suluhisho kwani mnataka wenzenu wawe single kama ninyi ili mpate kampani.Hili limekaa vibaya akae ampandishe kwenye kizimba cha Mungu kwa njia ya maombi kwani tuna amini hakuna lisilowezekana kwa Mungu.
 
Baada ya kugundua kw kazaa nje ya ndoa na wakajua nitajua wakamshauri abadilishe hati za nyumba na magari kwa kuhofia nitamfilisi aandike jina la mwanangu mdogo wa kiume.
Kiruuuu na hizo hati unajua ziliko?mliandikaje? Yeuiiii yaan ipo siku unakuja kutolewa ndani ya nyumba ishauzwa tena na huyo mmama mpya....changamsha akili aisee
Usisubiri kuonewa huruma na mtu au msaada wa mtu anza kujisaidia mwenyewe aisee naona kabisa kuaibika kupo njian amka mdada.
 
This is psychological touchier. Mateso ya aina hii yanaweza kukusababishia magonjwa kama BP au depression.
Jambo la kufahamu ni kuwa hakuna uhusiano wa kudumu. Lazima ikibidi kuachana, achana kwa manufaa ya Afya yako. Vitu vyote tunavifanya tukiwa na Afya njema. Kama ulikosea ukaingia choo cha kiume, ondoka nenda choo cha kike. Maana yake tafuta mume atakayekupenda pasipo kukunyanyasa
 
Back
Top Bottom