Baada ya miaka miwili ndani ya JF....

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Sina nia ya kum-attack member yeyote wa JF ila nimegundua makundi mawili hatari ndani ya jukwaa hili lenye nia njema......
1. Wajivuni..
→hawa hupenda sana kusifia maeneo wanayotoka...utasikia kwetu marangu, mm mchaga bhana....hata ID zao hutaziona e.g misschaga.....
→mara nyingi wanapo comment kwa kutumia simu utaona signature zao eg sent from my i-phone smart phone....
→ Pia hupenda kujionyesha wanaijua sana dar kuliko wengine....

2. Waongo na wanafiki.....
Hawa ndo hatari zaidi kwa ustawi wa taifa langu pendwa Tanzania...hupenda sana kujiita wanaharakati wakati hata ID zao siyo verified..mwanaharakati ni yule anajiweka wazi na watu kumtambua.
Hivi unawezaje kumuua nyoka kwa kutumia fimbo ndefu? Nchi haitajengwa na waongo/wanafiki...kama kweli nyie ni wanaharakati toeni hayo matusi kwa viongozi kwa kutumia verified ID.....

Narudia tena sina nia ya kum-attack mtu....
Mimi na Tanzania taifa langu pendwa....
Mungu ibariki Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Mmh... Hakuna kundi linalonihusu
 
huyu atakuwa ktk kundi la wakosoaji wa kila kitu.team wakosoaji mpooooo?.kuna member anaomba usajiri.lol
 

then soma signature yangu unaweza pata kitu.
 
Last edited by a moderator:
Kama hili ndio umejifunza kwa miaka miwili!
 
Nunua iPhone na wewe walau upate kundi moja.

ha hizi 'sent from' ingebidi zionyeshe na gps mahali mtu alipo ili roho yako ikwatuke vya kutosha.
 
yaani miaka miwili umejifunza huu -----....

ushauri wangu kwako....rudi fesibuku
 
Kama hili ndio umejifunza kwa miaka miwili!

huyu mtoa mada ndio wale wakiwa darasani wanaangalia makalio ya walimu wanapoandika ubaoni.....mwisho wa siku anaondoka na ziro
 
Sasa mtu akijisifia identity yake kuna shida nawe si ujisifie
 
Njoo na Verified ID kwanza ndio uandike hayo mambo uliyojifunza kwa miaka miwili.
 
huyu mtoa mada ndio wale wakiwa darasani wanaangalia makalio ya walimu wanapoandika ubaoni.....mwisho wa siku anaondoka na ziro

Naamini tukiweka vyeti mezani haunitoi......ndo maana nikasema wajivuni na ww upo kwenye hili kundi....kuna watu wema sanaaa humu ndani na huwa natumia ushauri wao ila ww aaaah uko tofauti kabisaaaa
 
huyu mtoa mada ndio wale wakiwa darasani wanaangalia makalio ya walimu wanapoandika ubaoni.....mwisho wa siku anaondoka na ziro

Mimi nilikuwa ninayaangalia makalio yao na bado nikapata division I ya point 9 miaka hiyo Azania Secondary School.

Inategemea "ntu" na "ntu".
 
Naamini tukiweka vyeti mezani haunitoi......ndo maana nikasema wajivuni na ww upo kwenye hili kundi....kuna watu wema sanaaa humu ndani na huwa natumia ushauri wao ila ww aaaah uko tofauti kabisaaaa
mtu kusifia kabila lake kwan kosa? Ndio nyie kijijini unaitwa SOKOMOKO NGANGATUSE ukifika mjini unajiita MWIGULU MACHALI KINANA.
 
Naamini tukiweka vyeti mezani haunitoi......ndo maana nikasema wajivuni na ww upo kwenye hili kundi....kuna watu wema sanaaa humu ndani na huwa natumia ushauri wao ila ww aaaah uko tofauti kabisaaaa

sasa na wewe kama si mjivuni ya nini kutamba ukiweka vyeti mezani hakutoi?
kumbe na wewe mle mle tu, may be wamekuzid kujitangaza tu! !
 



umejiunga tarehe 8 mwezi wa kwanza 2013!

Hii miaka miwili imefikaje?

Find another way to express your query, not like this..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…