Baada ya Miaka 50 ya Uhuru

Hiyo Tshirt ni zile tulizogawiwa kule Igunga?

daaah jamaa keshajulikana ni wa wapi maskiniii..!
ila sio ishu

ishu kubwa ni hiki anachokifanya hapa..! asee kuchafua mazingira ni kuyachafua tuu..! huyu hapa hanatofauti na yule anaekula pipi na kutupa ganda la pipi hapo chini na wakati anajua inabidi aende kwenye dust bin..! dustbin ya hii kitu anayoshusha jamaa hapa ni chooni..! ndipo anapotakiwa akashushe sasa swali ni tufanyeje..?

mimi ninaamini kizazi kama hiki cha wanya~njiani katika umri huo hapo ni vigumu sana kubadilika yani..! vigumu sana..sana yani..! kwa sababu unajua hili ni tendo la utashi wa mtu mwenyewe pale anapokua mwenyewe coz hayafanyiki watu wanapokua wengi..! ni pale mtu unapojua hakuna mtu mwingine anakuona ndio unaamua kwa uamuzi wako mwenyewe kujisaidia haja kama hii..! ninasikitika sana kua hata hawa watu wa mabasi wanazidi kupromote sana mambo haya kwa kufanya kitu kinaitwa kuchimba dawa..! hii ni sumu mbaya sana tunayoipandikiza kwenye vichwa vya watoto wetu ambao tunge wafundisha kua mambo haya ni mabaya wasinge yafanya hata wakiwa wenyewe na yangekaa vichwani mwao kwa muda mrefu sana..! ila kwa kua kila mtu anaweza kukojoa hata mbele ya mwanae..! basi ninasikitika sana kuiona tanzania itakayobadilika na kuondokana na tabia kama hizi ikiwa ni ya vijukuu na vilembwe vya watu wenye umri wa miaka 10 sasa...!
 
driller! Umeguswa kama nami! Kigoma hawana vyoo watu hujisaidia kwenye ziwa Tanganyika
 
Hata majuu uhuru wakujisaidia ovyo upo tu kwani nini bwana!
kid_20peeing.jpg
 
Back
Top Bottom