Baada ya Miaka 50 ya Uhuru

Baada ya Miaka 50 ya Uhuru

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,283
Reaction score
4,556


–
I love Tanzania my mother land, the land of milk and honey! Where people ARE free to do as they wish


attachment.php

 

Attachments

  • Tanganyika.jpg
    Tanganyika.jpg
    34.5 KB · Views: 181
Kweli wito wa Adii umefanya kazi!

Rev huyo mtu umemkurupua Zanzibar nini??
 
Gosh.....

Baada ya miaka 100 ya uhuru Tz will be covered with sh!t!!
 
Hiyo karatasi ya nylon kaweka ya nini?? Anataka kuondoka na mzugo wake akauze?

By the way, Rev Masa umekutana naye wapi? Au mlikuwa wote kwenye maombi?!!!
 
Rev, halafu mbona jamaa anaonekama kama mwanajeshi? hiyo suruali


–
I love Tanzania my mother land, the land of milk and honey! Where people ARE free to do as they wish


attachment.php

[/QUOTE]
 
Hiyo Tshirt ni zile tulizogawiwa kule Igunga?
 
Back
Top Bottom