Ndiyo! Angalia jinsi wanatendeana wenyewe kwa wenyewe! Ndiyo watashindwa kutenda mara 10 kwa washindani wao?Kwa ujinga unaofanyika CCM, tegemea Rais kutoka Msoga baada ya Mama...kuna mtu anamtayarisha mwanawe
Walioukamia sana u rais na kusemwa sana hawakuupata.Kwa ujinga unaofanyika CCM, tegemea Rais kutoka Msoga baada ya Mama...kuna mtu anamtayarisha mwanawe
ni wakati sasa chadema mfunge mdomo...muache watanzania waweke alama ya vyema october