Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa Chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Katika sekta ya michezo asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamsikilize Chief Coach wa Uganda..alisema wachezaji wake hawakuwa motivated baada ya kuwa walishaqualified.. Bashite hatabaki kuwa Zero..
 
Serikali ya ccm pasua kichwa sana,waliahidi taifa stars ikishinda beer zitauzwa nusu bei, chaajabu taifa stars imeshinda na hakuna beer nusu bei wala soda,Lumumba wameingia mitini eti muda huu ndio wanasema nusu bei IPO Serena hotel,sasa Serena si wanauza beer 10000 inamaana nusu being ni 5000,wale mashabiki walio kosa seat uwanja wa taifa wanata beer wanayo uziwa 2000 iuzwe 1000 sio habari za serena, tunapenda taifa letu tungeenda kushangilia hata bila uongo wenu ccm.
Beer na iheshimiwe sio tawala wala upinzani konda na muro mmetukosea sana wanywaji wa hapa corner bar.
 
Nakereka sana kila naposikia kila kiongozi anazungumza kuhusu hii mechi ya Taifa stars na Uganda akinza kwa kumpongeza rais wetu mpendwa Magufuli.
Nachojiuliza Magufuli anapewa pongezi ya kazi gani? Kati ya Magufuli na mashabiki na wachezaji ni nani wa kwanza kupewa pongezi?
Huu ni ujinga wapeni pongezi wachezaji na mashabiki kwa kufika na kucheza vizuri Magufuli hana hata chembe ya pongezi kwenye mchezo huu... Bora hata Makonda alikua kwenye kamati na kiki zake za msimu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ma ccm, hiyo ni fursa ya kujitafutia "kick" kutoka kwa Presidar!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo POLITICS, ushindi huu ni mileage ya kisiasa ya watu wengi, inafanya hata wachezaji na benchi la ufundi kusahaulika katika sifa hizi.
 
Kwa mara ya kwanza amesimamia jambo likawa jambo!!

Hata Makund* wenu asingesimamia Tanzania ingelishinda tu......! Mnaompa pongezi huyu jamaa mpenda mijisifa ndo mnaharibu nji...!
Hivi Kocha, Wachezaji na TFF wanajisikiaje wanapoona Mkuu wa Mkoa ndiye anayesifiwa?Hivi mnataka kuwaamisha Watz kuwa pasipo Makund* timu yetu isingelishinda? Kama jibu ni ndiyo TFF wanangoja nini kumwajiri Makonda ili awe super coach wa Stars?
 
They're more like 'elements' than actual chemicals!
Sir !; sure, oxygen and hydrogen are elements in that they can't be decomposed further into other elements, but they "chemicals," kind of chemicals known monatomic chemicals.
 
Hata Makund* wenu asingesimamia Tanzania ingelishinda tu......! Mnaompa pongezi huyu jamaa mpenda mijisifa ndo mnaharibu nji...!
Hivi Kocha, Wachezaji na TFF wanajisikiaje wanapoona Mkuu wa Mkoa ndiye anayesifiwa?Hivi mnataka kuwaamisha Watz kuwa pasipo Makund* timu yetu isingelishinda? Kama jibu ni ndiyo TFF wanangoja nini kumwajiri Makonda ili awe super coach wa Stars?
Kila mtu anasimama kwenye nafasi yake mkuu, kocha alifanya kazi yake tangu day one hadi kutufikisha hapa, wachezaji nao hivyo hivyo. Ila kuna siasa nyingi kwenye mpira, you need outsiders to support you reach your objectives. Mchezaji namba 12 alihitajika sana mechi ya leo, nilifurahi sana kuona uwanja umejaa pomoni mkuu.

Everyone deserves credit!!!
 
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa Chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Katika sekta ya michezo asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani 1.5trilioni zimepotea kipindi cha rais gani?
 
Ni kweli na kilio cha wakulima wa korosho tumsingizie rais au watendaji wake?maana ukisifia ukosoe pia
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa Chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Katika sekta ya michezo asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Back
Top Bottom