Baada ya Mdahalo: Nani anazuia upatikanaji wa Katiba Mpya?

Kutangulia si hoja mkuu. Wangapi wanatangulia na mwisho wa siku wanabaki nyuma? Cha muhimu ni fursa. Usishangae baadae wamachinga ndio wakawa wapo juu zaidi kuliko wachagga
Mkuu ,maendeleo ni kitendo cha taratibu ,wamachinga ambao hadi leo wanalazimishwa kwenda shule unategemea ni lini wataendelea? wakati wanajitahidi kumaliza elimu ya msingi kwa taaabu ,wengine wanafikiria ni nchi gani duniani inatoa elimu bora
 
Tatizo hamtuambii, mnatofautisha kitu gani mpaka mseme hiki cha kusini, hiki cha mashariki?
 
ccm wakiwa bungeni wanajidai wengi na wanakuwa mabingwa wa kuongea ila ukimchomoa mmoja mmoja wanapwayaaa , dawa yao hawa ni kuwachomoa mmoja mmoja na kuwafanyia mdaharo mpaka wakimbie wote.bado kinana na slaa
 
Haaaa!. Huelewi somo? wanazuia katiba mpya isipatikane. Hukumwelewa Tundu lisu, lipumba, pole pole na yule mwingine? Au hukumwona wasira alivyolowa kama kifaranga kimenyeshewa mvua?

We sisi tunajadili katiba wewe unaongelea ccm kwani imekufanya nini!
 
Haaaa!. Huelewi somo? wanazuia katiba mpya isipatikane. Hukumwelewa Tundu lisu, lipumba, pole pole na yule mwingine? Au hukumwona wasira alivyolowa kama kifaranga kimenyeshewa mvua?

Aliyelowa ni Tundu kaja na vitakwimu vya uongo akaishiwa hoja ghafla na wapambe wake wakaanza kuzomea almanusura wafanye maandamano.
 
Leo katika mdahalo nimependa uzi mmoja makini. Kuna jamaa mmoja mweupe hivi alisema: .......kama kura za maoni zilizopendekeza serikali tatu zinasemekana ni chache, je za serikali mbili zilitosheleza ngapi??????????
 
Hivi, unapoona pro-ccm wametaharuki, wanachangia kwa jazba na matusi, inaashiria nini? Naomba mnijuvye. Au ndiyo kukata roho?
 
Haa leo nimeelewa kumbe Serikali 3 moja ni kusimamia mambo 7 tu yaliyo ya muungano. Jeshi, mambo ya ndani,fedha, katiba, nje,afya ... wala gharama si kubwa. Ila tu wajadili itaundwaje. Natamani kupata Randama na Bango kitita nijielimishe kwanini walipendekeza hivyo. Pse fungua tovuti tusome.
 
Tumeona sote. Wala hapahitaji tafsiri wala ubishi kwa sababu tuliona na tulisikia maongezi yalikuwa ya kiswahili.

Kwanza, unataka kusema wajumbe waliokuwemo ndani na kumzomea wasira walikuwa ni Ukawa?

Wasira aliposema tu dis-regard reports za tume za nyalali na zote zilizopita kwa kuwa ni historia, hiyo ndiyo hoja? Huoni kwamba dharau hiyo ya kudisregard concerns za watu ndilo tatizo liliopelekea hadi kikwete kwa aibu akatangaza mchakato wa katiba mpya?

Huoni kama vurugu za rwanda, burundi, kongo, kenya n.k ni ajili ya mfumo kiziwi, gandamizi na binafsi kama wa ccm?

Ninategemea ungeona namna gani wasira alijichora kwa kuonyesha ni jnisi gani ccm haijali wananchi!.

Wasira aliposema takwimu za tume ni za watu wachache na akapewa ufafanuzi juu ya approach iliyotumika kwa matengenezo ya katiba haikuwa ya kura za maoni na akaelewa na kunyamaza. Au wewe ingekuelea kama angesimama aseme "ahaaaaaaa, sikujua kama kuna approach tofauti". Hata wanachokifanya hawakijui. Lengo lao ni kulazimisha mambo ya ccm.

Kapewa kavu namna ambavyo wamechakachua mchakato wote wa katiba kwa kuonyesha kwamba serikali haikuwa na nia ya dhati ya kuwapa wa TZ katiba mpya zaidi ya unafiki. Kasema nini alipoambiwa wamebadili kwa hila hata mtirirko wa matukio ambapo ilikuwa kikwete azindue bunge la katiba (hoja iliyo lazimishwa na ccm) ndipo warioba akabidhi rasimu lakini wakafanya kinyume ili kikwte ajadili hoja za rasimu wakati si mjumbe wa bunge la katiba.

wasira akaishia kusema eti kikwete pale alikuwa akitoa maoni yake. Wasira alijibu nini alipoulizwa kikwete anatoa maoni yake siku ya kuanza bunge la katiba kwa kanuni ipi? Muda wa kutoa maoni ulikuwepo na kwa nini yeye ajipe ratiba yake ya kutoa maoni nje ya kikao cha tume kama iliyvokuwa? nilitegemea ungona aibu kwa kuwa viongozi wa ccm ndio wamedhihirika kuharibu kwa makusudi mchakatomzima wa katiba!.

Unashabikia deafness ya serikali aliyoionyesha pale aliposema kwa kiburi kwamba pamoja na tume za kasanga, nyalali na wengine wote kupendekeza muundo wa shirikisho lakini hadi sasa hakuna kilichotekelezwa. Huwezi kutumia akili yako kidogo kuona kwamba tume hizo zilikuwa zikiundwa kuadress matatizo na zilitumia fedha nying za kodi zetu na kutoa usuluhishi wa matatizo lakini serikai imekuwa haifanyi lolote? Huo siyo ubadhilifu na utawala mbovu? Kwako hpati hata message kwamba ccm imeshindwa kuongoza nchi na haiwezi kuondoa matatizo ya wantanzania?

Huyo wasira amesema nini alipowekwa kiti moto kuhusu tume ya fedha iliyoundwa miaka takribani 30 sasa lakini haina kazi kwa sababu kina wasira na ccm hawataki kusikia na wala kufanyia kazi mapendekezo ya tume hiyo? AIBU.

Wasira kasema nini alipobanwa juu ya kauli za viongozi wa ccm kina kinana (mzee wa tembo), waziri wa katiba, sheria na wengine kwamba hakuna haja ya kuwa na katiba mpya? Huoni haya kutetea uozo huo?

Wasira kajibu nini alipoambiwa wameanza kuchakachua rasimu na hawataki kfungu cha "uwajibikaji, uadilifu na uwazi" katika mfumo wa utendaji wa serikali?

Kajaibu nini kuhusu gharama za serikali ya muungano za sasa na mchango wa Zanzibar katika hilo? Kajibu nini juu ya mgawano wa mapato ya muungano? Kajibu nini juu ya cutoff ya serikali ya muungano, tanzania bara na zanzibar? Kajibu nini kuhusu idadi ya serikali zilizopo sasa? Inakupa akilini wewe kwamba zanzibar inaweze kuchangia 50% ya budget ya muungano sawa na bara? Wewe unaona hilo linatekelezeka? Huajona jamaa wa mwisho aliyekuwa na pole pole alipomkanusha warioba kwamba zanzibar inapewa asiliamia 4% wala si hamsini kama wasira anavotaka kudanganya mdahalo? Huoni haya wewe kutetea uwongo huo?

Ameulizwa swali, kwa kuwa anadai kwamba rasimu ya katiba, haswa kwa maoni ya serikali tatu yalitolewa na watu wachache, aseme yeye anatengeneza katiba ya serikali mbili kwa takwimu nyingi zipi? ( Holaaaa!!!!!!!!), akabaki anaramba midomo!.

Siwezi kurudia mengi aliyoyakorogoa wasira wenu. Lakini fahamu kwamba unafiki ni utumwa. unapaswa kuwa huru. Na uhuru wa kweli unaanzia moyoni kwa dhamira, kichwa kikusaidie kifanikisha uhuru wako.

Mbona ni ajabu wewe leo kusema uliona mdahalo halafu unasema eti wasira kashinda. Jamani. Mbona liko dhahiri? Inahitaji mtu mwenye elimu ya chini sana na ufahamu mdogo kuliko wa waliosoma shule za kata kutokuona jinsi wasira alivyojichora na serikali yake leo. Sihitaji kusema kwamba, waliokuwa ukumbini ni wananchi na si wajumbe wa UKAWA. Kama wasira kazomewa kivile, ujue UKAWA wana support ya wananchi. saa wasira na ccm ya serikai mbili, wanamwakilisha nani?

Haihitaji hat kuwa na degree moja kuon accm haina hoja zaidi ya kulinda maslahi ya viongozi wake, na kukosa nia ya dhati ya kuleta maendeleo ikiwa ni pamoja na kuondoa kero za watanzania. NADHANI UMEELEWA JAPO ASILILMIA 5.

Kwa kweli maswali.haya yote uliyouliza, mzee Wassira aligaragazwa vibaya, hakuwa na majibu. Alibaki midomo waz tu. Hakuwa na majibu wala base ya kuweza kujibu maswali hayo uliyouliza. Ila tu ana roho ngumu, maana maswali aliyoulizwa, maelezo na FACTS alizopewa, nafsi yake ilimsuta ila afanye nini, katumwa kutetea ili tonge lingiie mdomoni, lakini sifa moja ukweli huwa una tabia za kusuta nafsi na kisaikolojia ukimtazama mtu usoni anaetetea jambo kinyume na ukweli utamwona tu anavyotaabika, anakosa uhuru kabisa.
 
Sio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.

Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
Mkuu mbona kuna mburulaz zilikuwa zinadai kuwa Sokwe kawatoa jasho binadamu? Hata Mimi nilipatwa na mshangao kusikia mnyama sokwe awagalagaze binadamu!!
 
Sio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.

Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
Kweli mkuu yule msaka tonge Wasira suruali yake ilipwaya aliishia kusema ''Hata mkizomea haisaidii''hakuwa na zaidi ya kurudia yaleyale tu.
 
Ukweli ni kwamba CCM ndiyo kikwazo kikubwa sana kwa kutupatia katiba mpya,nawachuklia sana kwa sasa kwa sababu wanalididimiza taifa letu katika dimbwi la umasikini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom