Baada ya Malalamiko ya WanaJamiiForums, Rais Magufuli aandika kwa Usahihi kumpongeza Trump

Inategemea ni sehemu gani...kwakiasi kikubwa na kubaliana na wewe kwenye umakini lakini siyo kwenye kujua au kutokujua luga...By the way tweet sidhani kama ni official communication hiyo iko private zaidi japo huwezi kutofautisha personality ya Mh. Na nafasi yake...

Kinachonikwaza ni huu ushamba wa kutaka kufanya english superior kuliko luga yetu ya Taifa na watu kuwa sensitive for nothing...kwangu mimi leo Rais yeyote yule duniani akiandika kwa luga ya kiswahili kutoa ujumbe wake private na ionekane inatoka kwake na siyo ofisi akaandika kiswahili broken nitamheshimu sana kwani ameonyesha thamani ya luga yetu na kutuheshimu sisi kwakutambua utamaduni wetu hivyo kututumia ujumbe wa luga yetu tunayoielewa...ajabu huoni hiyo prestige kwa watanzania..tunaona kiingereza ndiyo kipimo cha elimu na ufahamu wetu wa mambo na ipo hivyo hata ku ajiri watu kiasi ambacho tumepoteza watu muhimu sana ambao wangeweza kuzifanya kazi vizuri zaidi kuliko ya ku communicate, ndiyo maana kuna public relation officers na poa extension officers...English is not science is just a language like any other...

Umakini wa kuandika unategemea upo wapi...niandikavyo JF siyo sawa na nikiandika article kwenye web of science...hapa vingine ni kuondoa stress...yaani edu-entertainment

Mimi nadhani salamu hiyo ya Mh. Means a lot kwa mwenzake maana ataona aliandika kwa mkono na utashi wake na siyo osfisi au assistant wake...Direct from his heart...hilo ni la msingi sana...leo mimi Magu akiniandikia message kwa mkono wake na siyo ofisi nikajua ananifahamu in person is more valuable kwangu kuliko official communication let say kunipongeza kwa jambo fulani...uzito wa ujumbe kutoka simu yake na kwa luga yake huo utakuwa na uzito mkubwa kuliko hizo official communication ambazo anybody can do in his name...hiyo context watqnzania hao myopic na wenye utumwa akilini hawaioni...hiyo ndiyo bahati mbaya yetu...We do not think critically tupo tu shallow minded..
wewe hata kiswahili unatatizo nacho ktk muda wote wa kukaa shule neno luga uliliona wapi sahihi ni lugha mkuu,
Pia wakati unajiuliza jua english hapa nchini ni lugha rasmi kumbe usilete excuse zozote
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mkuu, PhD si kigezo cha ufasaha wa lugha na uandishi ama kutofanya makosa.
Sisi wote are bound to make mistakes!
Kwani level ya PhD ni kujua kila kitu?
Teh,teh,teh,teh,endelea kutetea ni wewe tu ndio unaamini mtu wa kiwango hicho anaweze kuandika hivyo kukose ni issue nyingine lakini kuandika huku ukiwa na maana tofauti ni suala tofauti kabisa.hapo maji yalizidi unga.
 
1478766825073.png
mwingine huyu
 
Inategemea ni sehemu gani...kwakiasi kikubwa na kubaliana na wewe kwenye umakini lakini siyo kwenye kujua au kutokujua luga...By the way tweet sidhani kama ni official communication hiyo iko private zaidi japo huwezi kutofautisha personality ya Mh. Na nafasi yake...

Kinachonikwaza ni huu ushamba wa kutaka kufanya english superior kuliko luga yetu ya Taifa na watu kuwa sensitive for nothing...kwangu mimi leo Rais yeyote yule duniani akiandika kwa luga ya kiswahili kutoa ujumbe wake private na ionekane inatoka kwake na siyo ofisi akaandika kiswahili broken nitamheshimu sana kwani ameonyesha thamani ya luga yetu na kutuheshimu sisi kwakutambua utamaduni wetu hivyo kututumia ujumbe wa luga yetu tunayoielewa...ajabu huoni hiyo prestige kwa watanzania..tunaona kiingereza ndiyo kipimo cha elimu na ufahamu wetu wa mambo na ipo hivyo hata ku ajiri watu kiasi ambacho tumepoteza watu muhimu sana ambao wangeweza kuzifanya kazi vizuri zaidi kuliko ya ku communicate, ndiyo maana kuna public relation officers na poa extension officers...English is not science is just a language like any other...

Umakini wa kuandika unategemea upo wapi...niandikavyo JF siyo sawa na nikiandika article kwenye web of science...hapa vingine ni kuondoa stress...yaani edu-entertainment

Mimi nadhani salamu hiyo ya Mh. Means a lot kwa mwenzake maana ataona aliandika kwa mkono na utashi wake na siyo osfisi au assistant wake...Direct from his heart...hilo ni la msingi sana...leo mimi Magu akiniandikia message kwa mkono wake na siyo ofisi nikajua ananifahamu in person is more valuable kwangu kuliko official communication let say kunipongeza kwa jambo fulani...uzito wa ujumbe kutoka simu yake na kwa luga yake huo utakuwa na uzito mkubwa kuliko hizo official communication ambazo anybody can do in his name...hiyo context watqnzania hao myopic na wenye utumwa akilini hawaioni...hiyo ndiyo bahati mbaya yetu...We do not think critically tupo tu shallow minded..

Mtu anayeamini kwamba kiingereza ni lugha ya watu wengine na si lazima kuielewa, wakati huo huo anaitumia kuwasailiana na watu wengine, Mimi nakuwa hata simwelewi...
 
Unapowasiliana na mtu ni vyema kutumia lugha inayoeleweka vizuri kwa mlengwa/walengwa. Hii inahusisha uandishi sahihi na matamshi sahihi unapoongea. Kwa kiongozi wa nchi hatarajiwi kuonesha udhaifu katika haya, hata kama ikibidi kusaidiwa.
 
Rais akijua na kukubali kwamba urais ni taasisi, makosa ya namna hii hayawezi kijitokeza.
 
Tumemchagua magufuli ili awe kiongozi wetu na si mwalimu wa kiingereza mitandaoni kama kuna kitu uliona kimekosewa kimaandishi nazani ilitosha tu kuelewa kakosea kuandika ila hajakosea maana, ujinga wenu mnaabudu sana kiingereza wakati hata hakiwasaidii chochote.
 
Mnashinda kupiga kelele eti magufuli kakosea mala hivi mala vile mama zenu mnawasiliana nao kwa kiingereza? Je baba na babu zenu huko wanaongea kiingereza? Acheni chuki za kijinga magufuli hata akikosea kiingereza siyo inshu cha msingi anaongoza taifa vizuri sana.
 
i will be happy hamna kitu nachotamani kama kurejea shule.. kwenye kiswahili r na l huwa vinanitatiza but sioni taabu maana kiswahili upande wangu nakimudu kwenye mawasiliano ya kuongea kwa njia ya matamko... the kubwa kwenye english ukikosea herufi ujue umepotosha uma namaanisha uma wa watu wengi mno
hata kiswahili ukikosea unakuwa umepotosha watu wengi kama vile ajiri uandike"ajili"
 
Back
Top Bottom