NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
heri mimi sijasema!Mkulu katumia siku nzima kuandaa hizi pongezi kwa kizungu.Phd holder hawezi kutunga sentensi tatu kwa ufasaha!!!Elimu yetu imeoza.
heri mimi sijasema!Mkulu katumia siku nzima kuandaa hizi pongezi kwa kizungu.Phd holder hawezi kutunga sentensi tatu kwa ufasaha!!!Elimu yetu imeoza.
Umjaaliwa akili ya 1;4,lakin hukujibu swaliHiyo yako Phd sijaisikia.
Ni shahada ipi hiyo?
Ninayoifahamu mimi ni PhD. Hiyo yako ya Phd Magufuli hana.
Yeye ana PhD.
Ile yako ya Phd inapatikana chuo kipi ili nikaongezee na yangu?
Niambie Ajili inakuwa imepotosha nini ndani ya Sentensi yangu ukizingatia wewe hapo tu umenielewa hapo hapo bila simanzi..hata kiswahili ukikosea unakuwa umepotosha watu wengi kama vile ajiri uandika "ajili"
sijui wa dizim ni viharaza?Udom virazahaya tena,napita zangu
hahaha uwiiii uwii uwiuwi wowooHii lugha itatutoa roho, wallah!
Niambie Ajili inakuwa imepotosha nini ndani ya Sentensi yangu ukizingatia wewe hapo tu umenielewa hapo hapo bila simanzi..
In English nikikuuta Gay badala ya Guy nitakuwa nimekukosea binafsi na na sio kimaandishi... hapo ndio utafauti mkuu ulipo kwenye English kuliko Kiswahili...mkuu neno ajili lina maana tofauti na neno ajiri.kwa mfano huwezi litumia neno ajiri katika nusu sentensi ifuatayo: KWA AJIRI YA
Mkuu neno "ajili" lina tofauti ya ki maana kati yake na neno "ajiri"kwa mfano.Huwezi kulitumia neno "ajili"kama ifuatavyo katka nusu sentensi hii:UME AJILIWA na badala yake ungelitumia hili :UME AJIRIWA.Vilevile huwezi kulitumia neno AJIRI katika nusu sentensi ifuatayo:UME SAJIRI,KWA AJIRI YA ...Niambie Ajili inakuwa imepotosha nini ndani ya Sentensi yangu ukizingatia wewe hapo tu umenielewa hapo hapo bila simanzi..
In English nikikuuta Gay badala ya Guy nitakuwa nimekukosea binafsi na na sio kimaandishi... hapo ndio utafauti mkuu ulipo kwenye English kuliko Kiswahili...
Luga ndio nini mkuuLuga ya darasani na ya mtaani ni vitu viwili tofauti...leo mpe atoe lecture ya organic chemistry uone kama wewe utamfikia hata robo...ficheni aibu zenu
luga ni jitu gani hilo mkuuTatizo la waalimu wetu wa luga...na ni tatizo la taifa....lakini pia siyo kwamba hatu communicate...we do in our own ways...Nigeria pia wamekuja na luga yao, wahindi hivyo hivyo...matokeo ya ukoloni
alivofanya=alivyofanyakwel kiongoz asa c asahhshe kama mkuu wa kaya alvofanya??
badala yake tuongee kichina sio eeeh!Kizungu kipigwe marufuku Tanzania awamu hii ya 5
iko=ipoKazi iko
Anapaswa kujua kuwa yeye ni Rais wa JMT. Rais JMT hatakiwi kufanya makosa khalaghabhaho!kukosea mara moja moja hakuna tatzo