Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye Serikali imeanza kutoa motisha kwa Walimu wa Sayansi

Toka hapa, miaka 5 kuitafuta degree ambayo mwalimu anaitafuta kwa miaka 3, unavuta bangi??
Mimi mwenyewe ni daktari, nina hiyo degree ya miaka 5 unayosema lakini bado nasema walimu wa masomo ya sayansi wanapaswa kuwa na mshahara sawa au kuzidi wa madaktari na mainjinia, ubinafsi wa nini ndugu, kwani tunafanya mashindano!?
 
eti trans saharan trade hauoni hata aibu kuzungumza mambo ya kijinga hayo. Sasa trans saharan trade ukijifunza inakusaidia nini hapo nyumbani kwako mkuu. Unaweza kui apply wapi yaani
Si ni biashara hiyo! Huoni cha kujifunza jinsi watu walivyokuwa wanabeba bidhaa kupitia Jangwa la sahara, ni kama Biashara ya ndani ya Eac na Africa especially ile ya AFCFTA ukiangalia kwa makini utaona ufanano.
 
hahahaha, wenzako saivi tunawaza online business.
 
Angalau serikali imeanza kurudi kwenye chati.

Kulikuwa na madai na maoni mbali mbali kuhusu changamoto wanazopitia walimu wa sayansi, miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na mzigo mkubwa wa vipindi, kutekeleza majukumu ya watu wa maabara kama vile kuandaa na kusimamia practicals, kubaniwa baadhi ya promosheni kutokana na uchache wao na mambo mengine mengi

Kutokana na hali hiyo, wadau mbali mbali wa elimu walitoa maoni yao na kubwa zaidi wakitaka serikali kuwapa motisha walimu wa sayansi ili kuwatia moyo na hamasa ya kujituma zaidi katika kazi. Baadhi ya maoni yaliyotolewa na wadau hapa hapa JF ni haya hapa chini.

1. Maoni: Walimu wa masomo ya Sayansi wapewe malipo ya ziada

2.
Sasa, baada ya maoni hayo ni rasmi serikali imeyasikia hayo malalamiko na imeamua kuyafanyia kazi kwa vitendo.

Kwa hatua ya sasa, serikali imeanza kwa kuongeza kiasi kidogo( japo si haba!) kwenye mishahara ya walimu wa sayansi.

Sambamba na hilo, walimu wapya wa masomo ya sayansi wameanzia kidato cha tatu cha mshahara( tgts d3). Wa sanaa wameendelea na utaratibu ule ule wa mwanzo wa kuanzia kidato cha kwanza(tgts d1).
Serikali ingetofautisha madaraja ya walimu wa sayansi na walim wa sanaa. Walimu wa sayansi wapande madaraja baada ya miaka mitatu na wale wa sanaa baada ya miaka mitano kama ilivyo sasa kwa wote. Tatzo hao walioko huko juu asilimia kubwa ni artists, kwaio linapokuja suala la kutetea maslahi ya walimu wa sayansi inakuwa vigumu maana hakuna anayeelew ugumu wenyew.
 
Kwa maana hiyo sasa ajira mpya anamzidi mshahara mwalimu aliyemkuta kazini?
Sidhani kama hilo linawezekana. Hebu mtafute ajira mpya umuulize vizuri
Kweli tunaanzia D3 lkn baada ya makato yote matatizo yanarudi pale pale mkuu.
 
Serikali ingetofautisha madaraja ya walimu wa sayansi na walim wa sanaa. Walimu wa sayansi wapande madaraja baada ya miaka mitatu na wale wa sanaa baada ya miaka mitano kama ilivyo sasa kwa wote. Tatzo hao walioko huko juu asilimia kubwa ni artists, kwaio linapokuja suala la kutetea maslahi ya walimu wa sayansi inakuwa vigumu maana hakuna anayeelew ugumu wenyew.
Kwani madaraja yao yapo sawa?! Nakumbuka mwaka 2010 serikali ilifanya mabadiliko ya salary scales kwa watumishi wa umma ambapo salary scale ya walimu wa sayansi ilikuwa daraja moja juu ya walimu wa sayansi. Si hivyo tu, mishahara yao hatimae ikawa inafanana fanana na watumishi wa taalumu zingine kutegemeana na michepuo yao ya masomo; yaani walimu wa sayansi mishahara yao ikawa inafanana fanana na baadhi ya taaluma zingine zinazohusiana na sayansi.
 
Hakuna kitu kama hicho sasa hivi wote sawa Tgts D1 degree, C1 diploma, B1 cheti
 
Nijuavyo ni kwamba, kwenye taaluma zingine, waajiriwa wapya wanaanza ama na Daraja D au E, kwa mfano Mchumi Daraja D au Mtaalamu wa Kompyuta Daraja E. Hawa wote wanakuwa ni fresh graduate, tofauti ni kwamba D ni wale wa taaluma zinazotokana na masomo ya sanaa na social science wakati Grade E ni wale wa kisayansi.

Kwa upande wa ualimu, kuna TGTS D na TGTS E. Sasa huoni kuna utofauti hapo? Na usisahau, haya yalitokea baada ya kuonekana uhaba wa walimu wa sayansi sasa katika kuwa-encourage watu, ndo hapo wakabadilisha madaraja na walimu wanafunzi kuahidiwa mkopo 100%.
 
Kwani madaraja yao yapo sawa?! Nakumbuka mwaka 2010 serikali ilifanya mabadiliko ya salary scales kwa watumishi wa umma ambapo salary scale ya walimu wa sayansi ilikuwa daraja moja juu ya walimu wa sayansi. Si hivyo tu, mishahara yao hatimae ikawa inafanana fanana na watumishi wa taalumu zingine kutegemeana na michepuo yao ya masomo; yaani walimu wa sayansi mishahara yao ikawa inafanana fanana na baadhi ya taaluma zingine zinazohusiana na sayansi.
Siongei theory broo mm nafndisha physics & mathematics na nipo serikalini so naexperience ninachokisema.
 
Nijuavyo ni kwamba, kwenye taaluma zingine, waajiriwa wapya wanaanza ama na Daraja D au E, kwa mfano Mchumi Daraja D au Mtaalamu wa Kompyuta Daraja E. Hawa wote wanakuwa ni fresh graduate, tofauti ni kwamba D ni wale wa taaluma zinazotokana na masomo ya sanaa na social science wakati Grade E ni wale wa kisayansi.

Kwa upande wa ualimu, kuna TGTS D na TGTS E. Sasa huoni kuna utofauti hapo? Na usisahau, haya yalitokea baada ya kuonekana uhaba wa walimu wa sayansi sasa katika kuwa-encourage watu, ndo hapo wakabadilisha madaraja na walimu wanafunzi kuahidiwa mkopo 100%.
Sasa hivi uwe mwalimu wa kiswahili au wa physics ukiwa na degree nyote mnaanza na TGTS D1 fahamu hilo.
Hizo tofauti unazosema ziliondoka enzi za Mkapa.
 
Back
Top Bottom