Baada ya majoho, hili la makoti meupe pia likemewe

Baada ya majoho, hili la makoti meupe pia likemewe

Umuhimu wao ni utayari wa kulipwa hata dola hamsini kwa mwezi ili wapige kazi.
Kukubali kupokea mshahara mdogo hakutoi ukweli kua anatumikia jamii, mwalimu wa levo ya cheti anamuandaa mwanafunzi atakayekutana na mwalimu wa levo ya degree. Ana haki ya kuvaa joho.
 
Kukubali kupokea mshahara mdogo hakutoi ukweli kua anatumikia jamii, mwalimu wa levo ya cheti anamuandaa mwanafunzi atakayekutana na mwalimu wa levo ya degree. Ana haki ya kuvaa joho.
Sasa unachobishania hapa ni nini?

Tayari Waziri keshakataza, sisi hata tukilumbana hapa hadi mwakani hatutabadilisha uhalisia.
 
Kichekesho ni pale unakuta wachinja kuku wamevaa hayo6makoti meupe lakini yamekuwa mekundi kabisa
 
Matumizi ya joho ni tofauti na koti jeupe.Joho ni kama ngao ya ushindi anayovalishwa shujaa wa vita.
Ndio sababu linatakiwa kuvaliwa na wahitimu wa vyuo maana safari yao ya elimu ni sawa na vita lakini wameikamilisha.
Ni makosa kumvalisha muhitimu wa form four joho kwa sababu hajakamilisha vita vyake kwani bado ana safari ndefu ya kukamilisha elimu yake kwa kufika chuo kikuu na kuhitimu.

Koti jeupe ni alama ya usafi.Nguo/koti nyeupe linavaliwa na watu wanaofanya kazi nyeti sana kama zinazohusu afya ya binadamu, vyakula vya binadamu, afya ya mifugo, utengenezaji wa bidhaa za viwandani zenye kuhitaji kiwango kikubwa cha usafi.

Mtu anapovaa koti jeupe, havai kama alama ya ufahari wa kazi yake bali kama alama ya usafi unaohitajika kazini kwake.Kwenye hali hizo, rangi nyeupe hutumika ili iwe rahisi sana kugundua uchafu kama utakuwepo.
mkuu sidhani kama wanavaa koti jeupe kwa ajili ya usafi...ila ni kwaajili ya protection.....
 
mkuu sidhani kama wanavaa koti jeupe kwa ajili ya usafi...ila ni kwaajili ya protection.....
Kitu ni kile kile, linawalinda dhidi ya material yanayofanyia kazi.

Kwani muuza nyama anaogopa hatari gani?....Pia uchafu ni sababu moja wapo ya risks zinazozuiwa.
 
Back
Top Bottom