Too much complication kisa ni nini?Lakini mkuu wangetofautisha kwenye mtindo wa ushonaji wa hayo mavazi,maana kwa hayo jamaa hapo juu inaleta sintofaham
Km vītā yake inaishia form four jeMatumizi ya joho ni tofauti na koti jeupe.Joho ni kama ngao ya ushindi anayovalishwa shujaa wa vita.
Ndio sababu linatakiwa kuvaliwa na wahitimu wa vyuo maana safari yao ya elimu ni sawa na vita lakini wameikamilisha.
Ni makosa kumvalisha muhitimu wa form four joho kwa sababu hajakamilisha vita vyake kwani bado ana safari ndefu ya kukamilisha elimu yake kwa kufika chuo kikuu na kuhitimu.
Koti jeupe ni alama ya usafi.Nguo/koti nyeupe linavaliwa na watu wanaofanya kazi nyeti sana kama zinazohusu afya ya binadamu, vyakula vya binadamu, afya ya mifugo, utengenezaji wa bidhaa za viwandani zenye kuhitaji kiwango kikubwa cha usafi.
Mtu anapovaa koti jeupe, havai kama alama ya ufahari wa kazi yake bali kama alama ya usafi unaohitajika kazini kwake.Kwenye hali hizo, rangi nyeupe hutumika ili iwe rahisi sana kugundua uchafu kama utakuwepo.
Atakuwa sawa na askari aliyefia vitani.Km vītā yake inaishia form four je
Ongezea na mafundi gereji mitaanimadokta punguzeni mapovu mbona mainjinia tunavumilia tu overcoat zetu zinavaliwa na wabeba mizigo ubungo
UMEFAFANUA VIZURI SANA. KUONGEZEA NI KWAMBA VITAMBULISHO HUTUMIKA KUWATOFAUTISHA WATU HAO. KAWAIDA WALITAKIWA WAVAE NA VITAMBULISHOMatumizi ya joho ni tofauti na koti jeupe.Joho ni kama ngao ya ushindi anayovalishwa shujaa wa vita.
Ndio sababu linatakiwa kuvaliwa na wahitimu wa vyuo maana safari yao ya elimu ni sawa na vita lakini wameikamilisha.
Ni makosa kumvalisha muhitimu wa form four joho kwa sababu hajakamilisha vita vyake kwani bado ana safari ndefu ya kukamilisha elimu yake kwa kufika chuo kikuu na kuhitimu.
Koti jeupe ni alama ya usafi.Nguo/koti nyeupe linavaliwa na watu wanaofanya kazi nyeti sana kama zinazohusu afya ya binadamu, vyakula vya binadamu, afya ya mifugo, utengenezaji wa bidhaa za viwandani zenye kuhitaji kiwango kikubwa cha usafi.
Mtu anapovaa koti jeupe, havai kama alama ya ufahari wa kazi yake bali kama alama ya usafi unaohitajika kazini kwake.Kwenye hali hizo, rangi nyeupe hutumika ili iwe rahisi sana kugundua uchafu kama utakuwepo.
Sure! na kitambulisho sii kwa wao pekee bali kila mtu anatakiwa abebe kitambulisho.UMEFAFANUA VIZURI SANA. KUONGEZEA NI KWAMBA VITAMBULISHO HUTUMIKA KUWATOFAUTISHA WATU HAO. KAWAIDA WALITAKIWA WAVAE NA VITAMBULISHO
Fikiria upyaHawa nao ndio wasomi wetu ,kweli hasara
Wasomi,wahitimu huko Israel,USA,China,urusi,Germany wanafanya tafiti saizi ,wanafanya uvumbuzi,wanapiga code ,wanaumiza kichwa
Lkn wasomi wetu wanajadili mavazi ,wanaumiza kichwa kisa mavazi ,
Ase [emoji25] [emoji25]