Naungana na hoja yako ya vazi jeupe la koti.Matumizi ya joho ni tofauti na koti jeupe.Joho ni kama ngao ya ushindi anayovalishwa shujaa wa vita.
Ndio sababu linatakiwa kuvaliwa na wahitimu wa vyuo maana safari yao ya elimu ni sawa na vita lakini wameikamilisha.
Ni makosa kumvalisha muhitimu wa form four joho kwa sababu hajakamilisha vita vyake kwani bado ana safari ndefu ya kukamilisha elimu yake kwa kufika chuo kikuu na kuhitimu.
Koti jeupe ni alama ya usafi.Nguo/koti nyeupe linavaliwa na watu wanaofanya kazi nyeti sana kama zinazohusu afya ya binadamu, vyakula vya binadamu, afya ya mifugo, utengenezaji wa bidhaa za viwandani zenye kuhitaji kiwango kikubwa cha usafi.
Mtu anapovaa koti jeupe, havai kama alama ya ufahari wa kazi yake bali kama alama ya usafi unaohitajika kazini kwake.Kwenye hali hizo, rangi nyeupe hutumika ili iwe rahisi sana kugundua uchafu kama utakuwepo.
Naungana na hoja yako ya vazi jeupe la koti.
Lakini mkuu huyo mhitimu wa chuo kikuu bado anangojewa na masters, PHD na hatimaye u-Profesa.
Ni halali kusema mhitimu wa kidato cha nne hajamaliza safari yake hivyo asivae joho wakati hata huyo wa chuo kikuu anakua hajamaliza safari hivyo hivyo?
Na ikiwa tutabaki na sababu ya anayemaliza safari ndiyo avae joho nafikiri maprofesa ndiyo wenye haki haswa ya kuvaa joho.
Ahsante kwa maelezo yaliyojitosheleza mkuuMatumizi ya joho ni tofauti na koti jeupe.Joho ni kama ngao ya ushindi anayovalishwa shujaa wa vita.
Ndio sababu linatakiwa kuvaliwa na wahitimu wa vyuo maana safari yao ya elimu ni sawa na vita lakini wameikamilisha.
Ni makosa kumvalisha muhitimu wa form four joho kwa sababu hajakamilisha vita vyake kwani bado ana safari ndefu ya kukamilisha elimu yake kwa kufika chuo kikuu na kuhitimu.
Koti jeupe ni alama ya usafi.Nguo/koti nyeupe linavaliwa na watu wanaofanya kazi nyeti sana kama zinazohusu afya ya binadamu, vyakula vya binadamu, afya ya mifugo, utengenezaji wa bidhaa za viwandani zenye kuhitaji kiwango kikubwa cha usafi.
Mtu anapovaa koti jeupe, havai kama alama ya ufahari wa kazi yake bali kama alama ya usafi unaohitajika kazini kwake.Kwenye hali hizo, rangi nyeupe hutumika ili iwe rahisi sana kugundua uchafu kama utakuwepo.
Pamoja sana Mkuu.Ahsante kwa maelezo yaliyojitosheleza mkuu
Ila hata stashahada na astashahada wamegomewa kuvaa majoho, hawa wanakua wamefuzu kuhudumia jamii tayari na wanaweza kuwa walimu, wahasibu n.k. kuna mantiki gani kuwazuia na hawa ikiwa tunaamua kusema anayetakiwa kuvaa joho awe amefuzu katika kuhudumia jamii?Muhitimu wa Chuo kikuu anakuwa na professional ya kuhudumia jamii,
Anaweza kuwa Mwalimu, Doctor, Muhasibu n.k.
Tunaweza kusema amekamilisha safari yake ya kielimu kwani tayari ameshajinyakulia professional iliyokuwa ndoto yake.
Masters, na PhD ni kwa ajili ya kujikita zaidi kwenye kitu alichosomea kwenye ngazi ya degree.
Sasa form four leaver ana professional ipi ya kumpa haki ya kuvaa joho.
never on earthWenzenu Ulaya na Amerika hawavai makoti meupe tena, siku hizi wanavaa mavazi yanayoitwa scrab.
Dip na Sat ni professional lakini siyo competent kama wa degree.Ila hata stashahada na astashahada wamegomewa kuvaa majoho, hawa wanakua wamefuzu kuhudumia jamii tayari na wanaweza kuwa walimu, wahasibu n.k. kuna mantiki gani kuwazuia na hawa ikiwa tunaamua kusema anayetakiwa kuvaa joho awe amefuzu katika kuhudumia jamii?
Ingawa watu waliomaliza degree wamekua wengi, Kuhitajika kwa watu cert na dip bado ni kukubwa katika kuitumikia jamii.Dip na Sat ni professional lakini siyo competent kama wa degree.
Hao Dip na Sat walikuwa muhimu wakati jamii haijapata wataalamu wakutosha wenye degree-PhD.
Umuhimu wao ni utayari wa kulipwa hata dola hamsini kwa mwezi ili wapige kazi.Ingawa watu waliomaliza degree wamekua wengi, Kuhitajika kwa watu cert na dip bado ni kukubwa katika kuitumikia jamii.
Bado naona matangazo ya kazi ambayo yanaonesha kua anayehitajika awe na elimu ya levo hizo (dip au cert), wingi wa watu wa degree haujafanya umuhimu wa hawa wengine usionekane.