Dr. Masumbuko lamwaiWaliotoka Upinzani na kwenda CCM...
Wassira
Dr Kaburooh
Msabaha
hebu endeleza...
Wewe ipo siku uliamini Dr. Mihogo angerudi ccm?Tundu Lissu, Mbowe, Maalim Seif, n.k. mmoja wao akirudi ccm basi Itakuwa ndiyo mwisho wangu mimi kupenda demokrasia, nitaachana kabisa na ushabiki wa kisiasa
Yule alitoka ccm kwa mizengwe lakini alikuwa bado anaipendaWewe ipo siku uliamini Dr. Mihogo angerudi ccm?
Moses Machali Ni Kweli Kaenda Kuungana Na Ng'ombe Wengine Waliokatika Mikia,
Dah....Eti GT...nani asiyefanya siasa kwa sababu ya NJAA??😎😎Hakuna mtu mwenye akili zake timilifu atatoka upunzani kwenda CCM labda hao wanaofanyia matumbo.
Laana ya usaliti inawatesa, tulisema na kuwatahadarisha hawa wanasiasa Vijana waliopata umaarufu mkubwa kuwa ktk mafanikio waliyokuwa wamepata walipaswa kutulia na kuwafanyia Wananchi waliyowakubali kazi, wao wakaanza kung'ang'ania madaraka... Langu jicho tutasikia mengiKwa kuwa Magufuli hana fedha za kufadhiri matawi ya CCM baada ya Machali anayefuata ni Zitto mwenyewe kwa kuwa njaa ndiyo inayowakimbiza,
Hao huwa wanaitwa wasakamaslahiNilivyoona historia yake kwamba alianzia CCM then akaenda TLP then akaenda CHADEMA then NCCR then ACT then sasa. CCM wala sikushangaa.
Mtafuta maslahi huyu.
usikate tamaa hata kama wakirudi, demokrasi ni sawa na ushabiki kama wa simba, yanga, liverpool, arsenal, n.k. hata kama club itafungwa mabao mengi au kushindwa kutwaa kombe kwa miaka 50 watu wanabaki upande huohuo tu. Ninachoamini mimi wajinga wanazidi kupungua na warevu wanaongezeka kila siku nchini kutokana na matukio mbalimbali nchini na kimataifa.Tundu Lissu, Mbowe, Maalim Seif, n.k. mmoja wao akirudi ccm basi Itakuwa ndiyo mwisho wangu mimi kupenda demokrasia, nitaachana kabisa na ushabiki wa kisiasa
lowasa kashahama jana usiku....kila mtu anayo haki kamili ya kujiunga na chama cha siasa atakacho lakini ni kweli Machali anaipenda CCM au kuna kitu kilichomsukuma kurudi CCM? ni kitu gani hasa hicho?. Hakuna asiyebandikwa bei mgongoni!!