Baada ya Machali nani anafuata?

Baada ya Machali nani anafuata?

...kila mtu anayo haki kamili ya kujiunga na chama cha siasa atakacho lakini ni kweli Machali anaipenda CCM au kuna kitu kilichomsukuma kurudi CCM? ni kitu gani hasa hicho?. Hakuna asiyebandikwa bei mgongoni!!
Lowasa, Sumaye, atamalizia mzee WA gia
 
wanachama wakomonisti huwa hawayumbishwi....watakaohama ni wanachama wapendao pesa...
 
Hivi ukitoka ACT ukaenda CCM unakuwa umehama chama?
 
Huna akili.
Kivipi kwa mfano....mbona unapaniki kaka??? Huu mchezo hauhitaji hasira kaka.....ccm ni mwendokasi speed 200 ukizubaa unagongwa mzee....karibu ccm mahali pasipo na stress hata kidogo mkuu.....mzee wa nchi keshasema hapa kazi tu sasa cjui ww uko upande gani wa shiling
 
Tundu Lissu, Mbowe, Maalim Seif, n.k. mmoja wao akirudi ccm basi Itakuwa ndiyo mwisho wangu mimi kupenda demokrasia, nitaachana kabisa na ushabiki wa kisiasa
Kwa hao ni sawa na kupanda jiwe na ukaliwekea mbolea ukisubiri liote.
 
Nilivyoona historia yake kwamba alianzia CCM then akaenda TLP then akaenda CHADEMA then NCCR then ACT then sasa. CCM wala sikushangaa.
Mtafuta maslahi huyu.

Kuna mnyama mmoja ambaye ni maarufu sana kula matapishi yake. Kumbe wanyama hao wana watoto miongoni mwa binadamu!
 
Anafuata mwigamba,Anna ngwira , habibu mchange, Albert msando....na wengine wengi
 
Nilivyoona historia yake kwamba alianzia CCM then akaenda TLP then akaenda CHADEMA then NCCR then ACT then sasa. CCM wala sikushangaa.
Mtafuta maslahi huyu.
Aliyewakilisha UKAWA mwaka jana alitokea CCM pia, na yeye atakuja kurudi CCM?. Na yeye alikuwa akitafuta maslahi kama ulivyosema kuhusiana na Machali?.
 
Kivipi kwa mfano....mbona unapaniki kaka??? Huu mchezo hauhitaji hasira kaka.....ccm ni mwendokasi speed 200 ukizubaa unagongwa mzee....karibu ccm mahali pasipo na stress hata kidogo mkuu.....mzee wa nchi keshasema hapa kazi tu sasa cjui ww uko upande gani wa shiling
Mtu mwenye akili zake timamu huwezi mkuta anashabikia CCM tena mbele za watu bila haya, Labda kama Ana maslahi yake binafsi kwenye hicho Chama lkn km na ww ni mlala hoi kama mimi fanya mambo mengine ya maana achana ushahabiki wa kipumbavu.
 
Laana ya usaliti inawatesa, tulisema na kuwatahadarisha hawa wanasiasa Vijana waliopata umaarufu mkubwa kuwa ktk mafanikio waliyokuwa wamepata walipaswa kutulia na kuwafanyia Wananchi waliyowakubali kazi, wao wakaanza kung'ang'ania madaraka... Langu jicho tutasikia mengi
Dunia ina maajabu sana hivi hata kwa kipimo cha kawaida tu mnaweza kufananisha mchango Wa Zitto katika ujenzi wa upinzani hasa katika siasa za masuala na hao mnaowaita ma role model wenu? Wenye siasa za matukio
 
Back
Top Bottom