GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,651
- 109,049
Porojo hizo. Sahau juu ya hilo.leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani
kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
Tumeshawaona vibaraka wa Jiwe (muhusika namba moja) wanavyohangaika na matamko ya hovyo kila siku bila mafanikio.Hatimaye Mwanasheria mahiri na Mbunge machachaari Mheshimiwa Tundu Lissu kusema kuwa kuna Watu kutoka upande wa anaowahisi ndiyo wamehusika kwa 100% na Kilichomtokea na kwamba walimuambia kuwa mpango uliokuwepo ni Yeye akipigwa tu zile risasi na akifa haraka sana asiletwe Dar es Salaam bali apelekwe Kijijini Kwao azikwe mara moja na hata asiagwe Bungeni.
Je unadhani baada ya Lissu ' Kuwajambisha / Kuwashtua ' hivi wale ' Wanyetishaji ' wake huku akisema kuwa ipo Siku ambayo ataona itafaa atawataja ili Watanzania wawajue kwa sasa watakuwa katika hali gani kati hizi zifuatazo?
1. Je watakuwa wameshajinyonga?
2. Je wanatamani hata kwenda aliko Lissu ili wakampigie Magoti asiwataje?
3. Je wanatamani hata Bundi aje awachukue na apae nao tu Kusikojulikana?
4. Je sasa hivi Chakula kitakuwa kinapita kweli katika Makoo yao?
5. Je hawaombi kweli hata ardhi ipasuke ili watokomee huko?
6. Je hawawezi wakawa sasa wanatamani Israeli Mtoa Roho aondoke kabisa na Lissu ili wasalimike?
7. Je hawangaiki kwenda kwa Waganga ili Kumsahaulisha Lissu kuwa walimpa hizo taarifa Nyeti?
Nawasilisha.
Punguani, anaye weweseka ni yule muuaji wa magogoni aka Jiwe.leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani
kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
Hivi umesoma mpaka drs la ngapi??baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili
leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani
kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
Tumbo lililokuleta duniani lazima linajuta . Hasara sana na pengine unaweza kukuta hata shule wamekupereka !! Unafukuzia cheo kwa kujitoa ufahamu kishenzi. Nafikiri hata hao wagawa vyeo wanakudharau.baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili
Utaniletea ban. Kaa na bange zako. Endelea kabisa na upumbavu wako.k iliyo kuzaa inajuta usiku na mchana harafu nyie wajaruo hata jando hamuendi mnanukanuka tu .katahiri kwanz Ndio une ukae na wanaume
Kaka GENTAMYCINE hata sisi tunajiuliza hayo maswali! Aisee Lissu ni mwanaume!!Hatimaye Mwanasheria mahiri na Mbunge machachaari Mheshimiwa Tundu Lissu kusema kuwa kuna Watu kutoka upande wa anaowahisi ndiyo wamehusika kwa 100% na Kilichomtokea na kwamba walimuambia kuwa mpango uliokuwepo ni Yeye akipigwa tu zile risasi na akifa haraka sana asiletwe Dar es Salaam bali apelekwe Kijijini Kwao azikwe mara moja na hata asiagwe Bungeni.
Je unadhani baada ya Lissu ' Kuwajambisha / Kuwashtua ' hivi wale ' Wanyetishaji ' wake huku akisema kuwa ipo Siku ambayo ataona itafaa atawataja ili Watanzania wawajue kwa sasa watakuwa katika hali gani kati hizi zifuatazo?
1. Je watakuwa wameshajinyonga?
2. Je wanatamani hata kwenda aliko Lissu ili wakampigie Magoti asiwataje?
3. Je wanatamani hata Bundi aje awachukue na apae nao tu Kusikojulikana?
4. Je sasa hivi Chakula kitakuwa kinapita kweli katika Makoo yao?
5. Je hawaombi kweli hata ardhi ipasuke ili watokomee huko?
6. Je hawawezi wakawa sasa wanatamani Israeli Mtoa Roho aondoke kabisa na Lissu ili wasalimike?
7. Je hawangaiki kwenda kwa Waganga ili Kumsahaulisha Lissu kuwa walimpa hizo taarifa Nyeti?
Nawasilisha.
Wakat ukiona unafaa Lissu mwenyewe anawatajaWakiamua Kukaa Kimya Kutatokea Nini?
si ndio vizur ili ccm ipumue au?leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani
kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani
kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
Kwahiyo mhusika ndo anasaidia kufanya yote hayo?wapumbavu kweli kweli!mmechanganyikiwa????baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili
baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili
baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili
ungeweka jibu ningeona una hata hakiri ya kuku
Tumbo lililokuleta duniani lazima linajuta . Hasara sana na pengine unaweza kukuta hata shule wamekupereka !! Unafukuzia cheo kwa kujitoa ufahamu kishenzi. Nafikiri hata hao wagawa vyeo wanakudharau.
Mbowe afanye tukio serikali isitafutiepo sifa ?!. Kweli wewe ni mpuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app