Baada ya Lissu kuwataja unadhani Wahusika kwa sasa watakuwa na hali gani kati ya hizi zifuatazo?

kwa akili yako ndogo huna hata akili ya kujibu hoja hata moja

Ungebahatika hata tu kuwa na 5% ya ' IQ ' yangu nadhani ungetamba na kuringa mno hapa hadi katika Jamii ya Kitanzania, ila bahati mbaya ' IQ ' yako ' imegotea ' tu kwenye -0.0197%.
 
Hatimaye Mwanasheria mahiri na Mbunge machachaari Mheshimiwa Tundu Lissu kusema kuwa kuna Watu kutoka upande wa anaowahisi ndiyo wamehusika kwa 100% na Kilichomtokea na kwamba walimuambia kuwa mpango uliokuwepo ni Yeye akipigwa tu zile risasi na akifa haraka sana asiletwe Dar es Salaam bali apelekwe Kijijini Kwao azikwe mara moja na hata asiagwe Bungeni.

Je unadhani baada ya Lissu ' Kuwajambisha / Kuwashtua ' hivi wale ' Wanyetishaji ' wake huku akisema kuwa ipo Siku ambayo ataona itafaa atawataja ili Watanzania wawajue kwa sasa watakuwa katika hali gani kati hizi zifuatazo?

1. Je watakuwa wameshajinyonga?
2. Je wanatamani hata kwenda aliko Lissu ili wakampigie Magoti asiwataje?
3. Je wanatamani hata Bundi aje awachukue na apae nao tu Kusikojulikana?
4. Je sasa hivi Chakula kitakuwa kinapita kweli katika Makoo yao?
5. Je hawaombi kweli hata ardhi ipasuke ili watokomee huko?
6. Je hawawezi wakawa sasa wanatamani Israeli Mtoa Roho aondoke kabisa na Lissu ili wasalimike?
7. Je hawangaiki kwenda kwa Waganga ili Kumsahaulisha Lissu kuwa walimpa hizo taarifa Nyeti?

Nawasilisha.
Kwa nini hatushughulishi kubaibi mhusika wa shambulio hilo tunazungusha maneno kama mchezo wa pia?

Maswali kadhaa yaliyoulizwa kwake Lissu na dereva wake na majibu yao yanatoa picha nanu mhusika. La msingi mchawi yuko huko huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawili wana tiketi na sasa wanaishi majumba sita , wamehama mjini ili iwe rahisi kutoroka
 
mpaka lisu ahojiwe na dereva wake ndio ukweli utajulikana .kumtetea huku yeye anasema anawajua
Lissu angewajua waliootaka kumua, kwa maneno yake mwenyewe, angechukua hatua kabla ya tukio. Kwa hiyo ni dhahiri anayosimulia ni yale aliyosimuliwa na dereva wake na watu kadhaa.

Kwamba dereva anadai hakumwambia "boss" wake kuwa wamekuwa wakifuatiliwa na magari mawili na bado asichukue tahadhari, ni maswali fikirishi au maneno ya kutunga.

Kwamba baada ya risasi kumiminwa dereva alikuwa bado na ujasiri wa kumvuta ""boss" wake upande wake na bado risasi zikamwumiza vibaya upande huo na yeye asipatwe hata na risasi moja?

Kwamba baada ya tukio dereva alikuwa bado na fahamu ya kuomba msaada kwa mdada wa kazi jirani na tukio, ni kizungumti.

Hayo si maneno yangu bali yake dereva

Ati Jeshi la Polisi alijamhoji hata mtuhumiwa mmoja ni kuweka maneno mdomoni mwa Polisi kama siyo kuingilia upelelezi na kujaribu kuharibu au kujua kama kuna ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm sasa hivi itakufa baada ya kuwaruhusu watu wasiopenda siasa za mauaji ndani ya chama na ni wengi sana nadhani hao ndio watakao pigia kura upinzani 2020
 
Hatimaye Mwanasheria mahiri na Mbunge machachaari Mheshimiwa Tundu Lissu kusema kuwa kuna Watu kutoka upande wa anaowahisi ndiyo wamehusika kwa 100% na Kilichomtokea na kwamba walimuambia kuwa mpango uliokuwepo ni Yeye akipigwa tu zile risasi na akifa haraka sana asiletwe Dar es Salaam bali apelekwe Kijijini Kwao azikwe mara moja na hata asiagwe Bungeni.

Je unadhani baada ya Lissu ' Kuwajambisha / Kuwashtua ' hivi wale ' Wanyetishaji ' wake huku akisema kuwa ipo Siku ambayo ataona itafaa atawataja ili Watanzania wawajue kwa sasa watakuwa katika hali gani kati hizi zifuatazo?

1. Je watakuwa wameshajinyonga?
2. Je wanatamani hata kwenda aliko Lissu ili wakampigie Magoti asiwataje?
3. Je wanatamani hata Bundi aje awachukue na apae nao tu Kusikojulikana?
4. Je sasa hivi Chakula kitakuwa kinapita kweli katika Makoo yao?
5. Je hawaombi kweli hata ardhi ipasuke ili watokomee huko?
6. Je hawawezi wakawa sasa wanatamani Israeli Mtoa Roho aondoke kabisa na Lissu ili wasalimike?
7. Je hawangaiki kwenda kwa Waganga ili Kumsahaulisha Lissu kuwa walimpa hizo taarifa Nyeti?

Nawasilisha.
Hakuna mwana.ccm mwenye akili timamu huwezi kuwa ccm.Hujasikia amesafiri?kibali cha safari haombi huyo kisa kazi kikosi maalumu
 
leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani

kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
we jamaa mbona hivyo we mzee wa kijani na mbowe lini Mbowe atahojiwa tu maana ndo namna ya kuwapata wale wahutumiwa
 
Back
Top Bottom