Baada ya Lissu kuwataja unadhani Wahusika kwa sasa watakuwa na hali gani kati ya hizi zifuatazo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Hatimaye Mwanasheria mahiri na Mbunge machachaari Mheshimiwa Tundu Lissu kusema kuwa kuna Watu kutoka upande wa anaowahisi ndiyo wamehusika kwa 100% na Kilichomtokea na kwamba walimuambia kuwa mpango uliokuwepo ni Yeye akipigwa tu zile risasi na akifa haraka sana asiletwe Dar es Salaam bali apelekwe Kijijini Kwao azikwe mara moja na hata asiagwe Bungeni.

Je unadhani baada ya Lissu ' Kuwajambisha / Kuwashtua ' hivi wale ' Wanyetishaji ' wake huku akisema kuwa ipo Siku ambayo ataona itafaa atawataja ili Watanzania wawajue kwa sasa watakuwa katika hali gani kati hizi zifuatazo?

1. Je watakuwa wameshajinyonga?
2. Je wanatamani hata kwenda aliko Lissu ili wakampigie Magoti asiwataje?
3. Je wanatamani hata Bundi aje awachukue na apae nao tu Kusikojulikana?
4. Je sasa hivi Chakula kitakuwa kinapita kweli katika Makoo yao?
5. Je hawaombi kweli hata ardhi ipasuke ili watokomee huko?
6. Je hawawezi wakawa sasa wanatamani Israeli Mtoa Roho aondoke kabisa na Lissu ili wasalimike?
7. Je hawangaiki kwenda kwa Waganga ili Kumsahaulisha Lissu kuwa walimpa hizo taarifa Nyeti?

Nawasilisha.
 
Tumeshawaona vibaraka wa Jiwe (muhusika namba moja) wanavyohangaika na matamko ya hovyo kila siku bila mafanikio.
 
leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani

kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili
Tumbo lililokuleta duniani lazima linajuta . Hasara sana na pengine unaweza kukuta hata shule wamekupereka !! Unafukuzia cheo kwa kujitoa ufahamu kishenzi. Nafikiri hata hao wagawa vyeo wanakudharau.

Mbowe afanye tukio serikali isitafutiepo sifa ?!. Kweli wewe ni mpuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye Mwanasheria mahiri na Mbunge machachaari Mheshimiwa Tundu Lissu kusema kuwa kuna Watu kutoka upande wa anaowahisi ndiyo wamehusika kwa 100% na Kilichomtokea na kwamba walimuambia kuwa mpango uliokuwepo ni Yeye akipigwa tu zile risasi na akifa haraka sana asiletwe Dar es Salaam bali apelekwe Kijijini Kwao azikwe mara moja na hata asiagwe Bungeni.

Je unadhani baada ya Lissu ' Kuwajambisha / Kuwashtua ' hivi wale ' Wanyetishaji ' wake huku akisema kuwa ipo Siku ambayo ataona itafaa atawataja ili Watanzania wawajue kwa sasa watakuwa katika hali gani kati hizi zifuatazo?

1. Je watakuwa wameshajinyonga?
2. Je wanatamani hata kwenda aliko Lissu ili wakampigie Magoti asiwataje?
3. Je wanatamani hata Bundi aje awachukue na apae nao tu Kusikojulikana?
4. Je sasa hivi Chakula kitakuwa kinapita kweli katika Makoo yao?
5. Je hawaombi kweli hata ardhi ipasuke ili watokomee huko?
6. Je hawawezi wakawa sasa wanatamani Israeli Mtoa Roho aondoke kabisa na Lissu ili wasalimike?
7. Je hawangaiki kwenda kwa Waganga ili Kumsahaulisha Lissu kuwa walimpa hizo taarifa Nyeti?

Nawasilisha.
Kaka GENTAMYCINE hata sisi tunajiuliza hayo maswali! Aisee Lissu ni mwanaume!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani

kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan
si ndio vizur ili ccm ipumue au?
 
leo tumemweleza mbowe hapa kisutu kuhusu tamko la lisu kuwa ohojiwe amejisikia vibaya sana na naona amejua kuwa jambo la msingi ni kumfukuza lisu chamani

kutaja majina kutaleta vipande vipande chademan

Kwani Lissu kakuambia kuwa hao ' Wanyetishaji ' wake wanatokea CHADEMA? Mbona nawe unaanza ' Kujihami ' mapema hivi Mkuu? Kulikoni?
 
baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili
Kwahiyo mhusika ndo anasaidia kufanya yote hayo?wapumbavu kweli kweli!mmechanganyikiwa????
 
baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili

Angemuacha mgesema pesa za ruzuku ananywea pombe
 
baada ya lisu kushambuliwa
mbowe akawa msemaji wa lisu
akamsafirisha hadi kenya
akamuondoa na dereva
akataka watoroshe gari
akamkimbizia ulaya
asema tamlipia matibabu
akasema tz sio salama
yeye alipougua akaenda muhimbili

Ndiyo umeandika ' takataka ' gani hapa?
 
Tumbo lililokuleta duniani lazima linajuta . Hasara sana na pengine unaweza kukuta hata shule wamekupereka !! Unafukuzia cheo kwa kujitoa ufahamu kishenzi. Nafikiri hata hao wagawa vyeo wanakudharau.

Mbowe afanye tukio serikali isitafutiepo sifa ?!. Kweli wewe ni mpuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanini mnapoteza muda wenu na huyu Pimbi na Mwendawazimu?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom