GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,383
- 108,441
Hatimaye Mwanasheria mahiri na Mbunge machachaari Mheshimiwa Tundu Lissu kusema kuwa kuna Watu kutoka upande wa anaowahisi ndiyo wamehusika kwa 100% na Kilichomtokea na kwamba walimuambia kuwa mpango uliokuwepo ni Yeye akipigwa tu zile risasi na akifa haraka sana asiletwe Dar es Salaam bali apelekwe Kijijini Kwao azikwe mara moja na hata asiagwe Bungeni.
Je unadhani baada ya Lissu ' Kuwajambisha / Kuwashtua ' hivi wale ' Wanyetishaji ' wake huku akisema kuwa ipo Siku ambayo ataona itafaa atawataja ili Watanzania wawajue kwa sasa watakuwa katika hali gani kati hizi zifuatazo?
1. Je watakuwa wameshajinyonga?
2. Je wanatamani hata kwenda aliko Lissu ili wakampigie Magoti asiwataje?
3. Je wanatamani hata Bundi aje awachukue na apae nao tu Kusikojulikana?
4. Je sasa hivi Chakula kitakuwa kinapita kweli katika Makoo yao?
5. Je hawaombi kweli hata ardhi ipasuke ili watokomee huko?
6. Je hawawezi wakawa sasa wanatamani Israeli Mtoa Roho aondoke kabisa na Lissu ili wasalimike?
7. Je hawangaiki kwenda kwa Waganga ili Kumsahaulisha Lissu kuwa walimpa hizo taarifa Nyeti?
Nawasilisha.