Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

Zile 200ml walizoaidiwa hawakupewa wachezaji,,uongozi wameziminya wamelipia deni vyumba vya kupanga wachezaji pamoja na deni la kwa mama lishe,,,
hii taarifa ni ya uhakika 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
Gate collection: TZS 165 M; Ahadi ya zawadi 200 M. Ama kweli kumbe za kuambiwa changanya na za kwako!
 
Kama kipaumbele chao ni Mechi ya Simba tu Ubingwa watausikia .
 
Gate collection: TZS 165 M; Ahadi ya zawadi 200 M. Ama kweli kumbe za kuambiwa changanya na za kwako!
165 M sio pesa,Kwani mshindo msola alisema yanga inadaiwa milioni mia ngapi ?
Yanga anamadeni mengi na pesa hana,hata malimbikizo ya mishara ni makubwa,,aibu,,aibu sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila kwa kweli wachezaji, viongozi na benchi zima la ufundi la yanga ni wapuuzi kweli kweli na wanastahili kupigwa bakora 100 kila mmoja
 
Na tutaendelea kutumia nguvu nyingi kwako na ndiyo maana msimu huu nimekusanya pointi nne kutoka kwako unayedai una kikosi kipana Bodaboda/Mikia FC club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…