Baada ya kutoswa Chit-Chat namchukua huyu.

Baada ya kutoswa Chit-Chat namchukua huyu.

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Baada ya kukataliwa humu Chit-chat huyo umuonae kwenye Avatar yangu amenikubali sasa mniache nijilie vyangu mtoto nimemkoleza haswaaaa.
 
yan umepata mrembooo!!! mtoto mashaallah!! lips sasa!! nataman kumuona hadi chini!! pua nayo usiseme!! mmh rangi african beauty yan umewinije!!!

Mguu wa bia, kiuno cha nyigu, shingo ya upanga, kifua saa 6 na robo hapo je?
 
natumia mchina, hebu niwekeeni kati nione kama jamaa anakula au analiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom