Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,502
- 156
habari wana Bodi,
Habari zilizonifikia Punde asubuhi ya Leo,Jk ataendelea na safari zake za nje tana wiki ijayo na safari hii atakuwa akielekea China kuhudhulia Mkutano wa kibiashara,nitawapa habari zaidi baadaye,
ila wapambe wake wanajiandaa na safari hiyo na wataondoka Jumapili,
Je hizi safari zinasaidia kukuza uchumi wetu,na ningependa kujua mpaka sasa hiyo misaada aliyopewa imetusaidia kiasi gani?tulinganishe na gharama za safari zenyewe.
Je Muungwana ansafiri kwa kutumia mfuko upi?na kwanini asimwachie ziara zingine Ustaadh Shein ?yeye akamsaidia Lowasss kuelezea tuhuma za ufisadi na kutupa matumaini mapya wana wa watanzania.
Je ni lini ataacha kutumia pesa zatu kwa safari za kila siku,Mbona hakutuambia kama anapenda Kusafiri wakati tunamchagua..
hata kama safari zina umuhimu,hapana huyu baba gani wa familia ya wamasikini makini?