Baada ya Kutoka Ufaransa na Italy, JK kuelekea China Jumatatu

Ndio maana kamwachia nchi EL si ajabu kuwa walikubaliana hivyo wakati wanatengeneza mtandao....

Hapa na Membe anafanya kazi gani?
mambo ya nje iwe chini ya ofisi ya rais ili aweze kuwa kinara wa haya mambo,.
 
Nafikiri Wizara ya mambo ya nje ingeunganishwa na Ikulu ili hizi safari zake awe anaua ndege wawili kwa jiwe moja. Yaani Rais na waziri wa nje ili tu serve some costs. This is too much now.
 
Less than fifteen years after the genocide that destroyed much of Rwanda's human capital, infrastructure, and socio-economic fabric, the country is set to become sub-Saharan Africa's hub for information and communications technology (ICT).

Haya sisi Tanzania tunajivunia amani yetu, tukawa tunaeleza in 1990's with superior air sniffing, "Poor Rwandans" tunawaita wakimbizi! Haya let us see who will have the last laugh!

Rwanda also boasts an Internet Exchange Point, ICT Park, National Computing Centre, and Telemedecine Network, which connects Rwandan hospitals and universities in an attempt to transform and expand health services to underserved areas.
The government continues to supply and invest in technology at both the primary and university school levels, as over 1,200 primary schools are equipped with computers and at least 10 percent of Rwanda's secondary schools have wireless Internet.
"The RITC organised secondary school teachers for training in ICT from all provinces of Rwanda. The course was designed to help them disseminate ICT skills to the younger generation," Gasana said.

Rwanda formally joined the East African Community (EAC) economic bloc on Jun. 17 and is expected to play a major role in the development of the ICT sectors of its neighbours and fellow EAC members.

The country has already begun offering scholarships to ICT students from East and Central Africa to increase the number of scientists and raise the level of technological knowledge in the region.

Haya ngoja watoto wetu wasubiri scholarship za kwenda kusoma 'kompyuta' huko Rwanda! Sisi ni waanzilishi wa East African Community, wao ni newcomers, lakini wametupita! Hivi Vision 2020 ya kwetu imefikia wapi? Vituko!
 
Jamni huyu mtu atakuja India?mwenye taarifa tafadhali anifahamishe.

Wewe mshtue tu atakuja huko India.Maana inaelekea sasa hivi inabidi acheze na Wabongo walio ughaibuni,huku home imeshakuwa soo! Hata kurudi sasa anarudi kimyakimya tu!
 
Alisha sema zamani, kwamba mwendo mdundo....sasa yengele la nini? Mwacheni akale mchele kwa vijiti!!.
 
Kamua mpaka wakukome, ukitoka huko pitia US tena kwa shoping ile kubwa ya friday after thanksgiving. Nitashika nafasi for you so you dont have to line up!
 
Kama kawa..... baada ya discoveries za Vasco, na kurejea nyumbani kitakachofuatia ni kupandisha vyeo wanajeshi kadhaa na wengine kuwa wakuu wa mikoa....kama kawa wanajeshi nao wako kibindoni na nchi ni ya amani na utulivu!!

SteveD.
 
Nilishasema jamaa anafanya kazi ya Benard Membe huyu.
Wana JF mnasemaje?
 
Kikwete kula maisha mwaya,

Hivyo vitoto vinavyokufa hospitalini bila madawa maisha yao hayana thamani sana kama suti mbili ulizonunua NY kwenye safari yako ya juzi.

Nani alisema ikulu si pa kukimbilia? Nyerere (RIP) alishakufa so wewe kula nchi mwaya!
 
keleuwii cant believe mtalii wetu na crew yake wanakula pipa tena...nachoomba tuu kwa vile na uchaguzi ujao atashinda tena kwa kishindo,katiba ibadilishwe angalau tufute posts za waziri na naibu waziri wa mambo ya nje,waziri mkuu na makamu wa raisi..
 
halafu kama kawa kwenye list ya wasindikizaji waweza kuta wengi ni mabest zake na mawara kama kawa..lakini si ndo tuliambiwa sie tufunge mikanda ndege yapaaa...twarudi kufunga mikanda kuleee kwa enzi za nyerere wakati wakuu wakilegeza na full kujiachia
 
kuna rumors kuwa jk ameshakaa ofisini kwake ikulu less than 100 days total in all of 2 yrs as presido.
 
Back
Top Bottom